Markani yaihonga Iran mabilioni ya dola ili irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya mradi wa Nyukilia

Markani yaihonga Iran mabilioni ya dola ili irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya mradi wa Nyukilia

Iran wala asingeangaika na marekani wao wangeipelekea moto Israel tu kama walivyokua wanafanya🤔
kwa hesabu nzuri iran lazima ikubali hiyo offer kwa maana hii, kwanza karata ya awali huenda hii vita ni ya mpango kuilazimisha iran ikubali hilo swala pili hata kama iran ikikataa hiyo offer na ikajiingiza kwenye vita na Israel kwa hali na mali basi iran itakaushwa kwa muda mchache sana maana vita isipokuwa himilivu si marekani ama Israel basi matumizi ya nuclear yatatumika kuokoa jahazi na hapo bila shaka atakaeumia ni iran... hata hivyo ninamashaka na kiongozi wa iran anaweza kukubali hiyo offer maana nahisi kama ni kibaraka.
 
Zionists na rednecks wamemchangia m persia, wamerusha makonde yao ya kustukiza wee, m persia kapokea thoruba naye karusha yake. Wavamizi wakarudi nyuma. Wakadai wameharibu mifumo ya nuklia yote ya m persia na m persia itamchukuwa miaka na miaka kuirudisha.
Wanakuja tena eti waongelea, wapeleke watalaam kuchunguza!
Yanini kama Wana uhakika waliharibu mifumo yote?! Kwanini kuwahonga michuzi wa persia wasijuhusishe na nuklia programs?!
Rednecks na ma Zionists hivi wanajielewa kweli?!
Majinga, hovyo hovyo kabisa kabisa 🤬🤬🤬🤬🤬
 
kwa hesabu nzuri iran lazima ikubali hiyo offer kwa maana hii, kwanza karata ya awali huenda hii vita ni ya mpango kuilazimisha iran ikubali hilo swala pili hata kama iran ikikataa hiyo offer na ikajiingiza kwenye vita na Israel kwa hali na mali basi iran itakaushwa kwa muda mchache sana maana vita isipokuwa himilivu si marekani ama Israel basi matumizi ya nuclear yatatumika kuokoa jahazi na hapo bila shaka atakaeumia ni iran... hata hivyo ninamashaka na kiongozi wa iran anaweza kukubali hiyo offer maana nahisi kama ni kibaraka.
Makisio yako sidhani kama ni sahihi.
Iran hawezi kukubali kwasababu kwanza uchumi wake unaweza kuzipata hizo hela ndani ya muda michache tu.
Pili alishapiga kura na bunge lake kujiondoa kwenye IAEA na NPT,hivyo nani atakayehusika na kumsainisha huo mkataba wa amani!?
Tatu bunge lilishaazimia kuendelea na mchakato wa kurutubisha uranium kama kawaida pasi na kuwahusisha vyombo vya kimataifa.
Kama vita ikitokea China na Russia watakua willing kumsaidia Iran kwa silaha zozote zile.
Hizi sio zile zama za 1944 za WW II.
Hizi ni zama mpya.
Iran ameshaanza kutazamia ushirikiano wa kiulinzi na China.
Unadhani kwanini hata sasa USA na EU states walikataa kuitanua hii vita?
Sababu ni washirika wa Iran mwishoni walikua willing kumsaidia Iran in all aspects.
 
Mh! hizo zakusema watamsaidia in all aspects huo ni uongo mkuu!.

Ndugu mataifa makubwa mengi duniani ni baba wa propaganda na kiongozi wa hilo ni marekani!, ipo hivi kila taifa kubwa linajijua linauwezo na linajua mataifa mengine yanauwezo hivyo nchi kama U.S.A akisema leo aanzishe vita hata kama akishinda basi atatoka kiuno hana!, ukishajeruhiyo hivyo kuna yale mataifa madogo madogo ambayo yalikuwa hayakuwezi ndo yanaingia mzigoni ili kukumaliza!.

Hivyo mataifa makubwa fuatilia ni mataifa maoga kwa vita!, mengi yamekaa ki faida faida na vita ni hasara!.
Hii vita itapiganwa kimgongo mgongo hivyo hivyo na yupo atakaeomba poo tu!.
Marekani haya ndo mambo yake ambapo hakuna faida huwa anaufyata ila akinusa mali na anaweza kuingia mtaisoma namba!.
kwa namna yoyote, mbinu yoyote atahakikisha anavuna na hiyo ndo dunia yasasa ilivyo!. futa akilini mwako WW3 ikitokea basi kuna taifa lakijinga litakuwa limelazimisha tena sio kidogo!, heri watu walitoe kafara taifa moja kuliko kupigana WW3 itakuwa sio vita tu ni kilio cha shetani!.
 
Nasubiria ile F35 uliyosema mliiangusha pamoja na video ya rubani mliyemkamata
😀 😀 😀

Iran wanaweza kuwa ndio waalimu wa CCM kwa Uwongo, wanakwambia walishinda vita, hapa ndio wanaaniacha hoi
 
"Na Nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato,ni mwenye miguu iliyopasuka kati,lakini hacheui,yeye ni najisi kwenu. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu.

Mambo ya walawi 11:7-8
 
Back
Top Bottom