Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
CCM ni takataka.Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
Kwa hili busara haikutumika kabisa, hao si lolote!, wala hawakuwa na impacts yoyote!CCM ni takataka.
CCM ni shetani.
CCM ni baba wa maovu yote.
CCM bila dola, ni wepesi zaidi ya kipande cha karatasi ya chooni.
CCM wangekuwa na busara, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo.Kwa hili busara haikutumika kabisa, hao si lolote!, wala hawakuwa na impacts yoyote!
Kwanini usitunze pumzi hii unayohemea hapa ukamshauri mwenyekiti wa chama chako unachoshabikia ambae yeye ndo kiongozi wa wote mnaonshabikia pamoja na taasisi zote zilizopaswa kutokua mashabiki kwenye kutoa haki?Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
Hapana mkuu, huyu hana "" Impact yoyote""aje aone nduguye kile alichosema mpaka kutiwa hatiani.ni mropokaji asie na nidhamu,
arejeshwe kwao mara moja
ni mropokaji asie na nidhamu,
arejeshwe kwao mara moja
Siamini hili kama ni yeye ameliamua bali ni viongozi wengine tu, wameona labda litamfurahisha Rais, lakini sivyo, si kila shauri Rais analifahamu au ameagiza!Kwanini usitunze pumzi hii unayohemea hapa ukamshauri mwenyekiti wa chama chako unachoshabikia ambae yeye ndo kiongozi wa wote mnaonshabikia pamoja na taasisi zote zilizopaswa kutokua mashabiki kwenye kutoa haki?
Happy parefu Sana mpaka kuingia DarWangekatisha hapo namanga
sihusiki na vya watu gentleman na huo ni unafikiKaka umeona wenzako wananunua kiwanja kwa bilion 3 na ni wafanyakazi wa umma? Haha
Afrika sisi ni wamojaOmbi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
Walio chini wanangalia tabia za aliyejuuSiamini hili kama ni yeye ameliamua bali ni viongozi wengine tu, wameona labda litamfurahisha Rais, lakini sivyo, si kila shauri Rais analifahamu au ameagiza!
Mkuu hao wanaotetea hao akina Karua wana slavery mentality.Harakati kwenye kesi ya uhaini? Lissu Samia alivyokua akimbeba beba aliota mkia na kujiona kijogoo sana!! Sasa akiwashe Kama alivyokua akijinasibu na tumbo lake.
Hapa mnatetea maslahi tu. Haki ni kwa watu wote. Wafrika tuna shida sanaMkuu hao wanaotetea hao akina Karua wana slavery mentality.
nafahamu hana impact kwao Kenya na popote Africa Mashariki, but hanaga adabu,Hapana mkuu, huyu hana "" Impact yoyote""aje aone nduguye kile alichosema mpaka kutiwa hatiani.
Wangetobolea rongai hapo ni bus chap darisalamuHappy parefu Sana mpaka kuingia Dar