Wewe ni nafsi yake? Kwanini asiruhusu ammendments ya katiba ili waliompoka mamlaka wamrudishie?Siamini hili kama ni yeye ameliamua bali ni viongozi wengine tu, wameona labda litamfurahisha Rais, lakini sivyo, si kila shauri Rais analifahamu au ameagiza!
sihusiki na vya watu gentleman na huo ni unafiki
Wanaume wote chadema mmeshindwa kukinukisha mmeenda kuchukuwa akina mama waje wawasaidie?Chadema tuendelee kuunganisha nguvu na kukinúlisha
Amendment inakuja, lakini kwa muda wake maalumu, Tanzania siyo nchi ya kukurupuka!, Taifa lipo makini sana, muda utafika.Wewe ni nafsi yake? Kwanini asiruhusu ammendments ya katiba ili waliompoka mamlaka wamrudishie?
Aende Congo na Sudan kuna kesi nyingi tu za uhaini.Hapa mnatetea maslahi tu. Haki ni kwa watu wote. Wafrika tuna shida sana
Huyu ye buku 7 tu zinamtosha na makombo ya mabwana zakeKaka umeona wenzako wananunua kiwanja kwa bilion 3 na ni wafanyakazi wa umma? Haha
Huko kuna magaidi tupu. Tanzania ni kisiwa cha amaniAende Congo na Sudan kuna kesi nyingi tu za uhaini.
Usije kuhusisha umakini na mambo ya kijinga. Tanzania ni Taifa lililokufa,halijalala hivyo halitaamka hadi siku ya kiama atakaporudi mwana wa Adam.Amendment inakuja, lakini kwa muda wake maalumu, Tanzania siyo nchi ya kukurupuka!, Taifa lipo makini sana, muda utafika.
Fanya kazi ndugu, na wewe tafuta konection mkuu, dunia ipo, mali zipo, utajiri upo, lakini vyote havina maana, we go so soon, jitengenezee Furaha yako, zaidi.Usije kuhusisha umakini na mambo ya kijinga. Tanzania ni Taifa lililokufa,halijalala hivyo halitaamka hadi siku ya kiama atakaporudi mwana wa Adam.
Mbona mmemdhibiti kwa kumkamata kama mnataka akiwash? Mwachilieni kama hamtalala na viatu.Harakati kwenye kesi ya uhaini? Lissu Samia alivyokua akimbeba beba aliota mkia na kujiona kijogoo sana!! Sasa akiwashe Kama alivyokua akijinasibu na tumbo lake.
Muongo mkubwa weweCCM wangekuwa na busara, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo.
Kuna delivery pack ambayo mama mjamzito anatakiwa apewe bure kwa ajili ya kujifungulia, zinafadhiliwa na wafadhili, lakini hapewi na anatakiwa aende na vifaa vyake, na pamoja na kwenda navyo bado visipotumika mama huyu harudishiwi hivyo vifaa vyake.
Mama mjamzito kujifungua ni bure (kwa mujibu wa sera ya baba wa uongo na baba wa uovu ambaye ni CCM), lakini hawa wamama wanatozwa mpaka 400,000 kwenye hospitali/vituo vya afya/zahanati za serikali.
akitoa 1bn siunamfuata mdudeKaka umeona wenzako wananunua kiwanja kwa bilion 3 na ni wafanyakazi wa umma? Haha
Hata ushahidi ukiletwa, utasema sio wa kweli.Muongo mkubwa wewe
Lete ushaidi mtu kalipa 400,000/
Mnekiwasha nyinyi mlioko nje ili atokeMbona mmemdhibiti kwa kumkamata kama mnataka akiwash? Mwachilieni kama hamtalala na viatu.
Ndio unavyotaka halafu useme nchi haina amani. Usiwe na haraka huko unakohitaji tutafika. Na huyo mtamwachia bila ya watu kukiwasha. Endeleeni kutegemea dola ili mbaki hapo mlipo maana bila ya hivyo hamna uwezo wa kushindana na Lissu kwa hoja.Mnekiwasha nyinyi mlioko nje ili atoke
Hata Uganda alizuiliwa kuingia kwasababu sio mtu mwenye nia nzuri. Viva Tanzania, Viva!!!!Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
Tutaelewana tu,wakati wengine wakionewa kwa upuuzi wa mkoloni mweusi wengine wanasema hao ni chadema acha wanyooshwe,sasa msichokijua kinachonyooshwa ni taifa.Kwa hili busara haikutumika kabisa, hao si lolote!, wala hawakuwa na impacts yoyote!
Tanzania tayari iko kwenye kundi la nchi yenye siasa za kipuuzi. Na hili lilianza rasmi wakati wa Magufuli, kwa sasa ni muendelezo wa upuuzi huo.Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee na taratibu zao!
Inshaallah!, tabarak! View attachment 3338036
Kwamba sasa hivi tunawaiga Uganda? Najua umeishiwa, ila sikujua kama umeishiwa kwa kiwango hiki!Hata Uganda alizuiliwa kuingia kwasababu sio mtu mwenye nia nzuri. Viva Tanzania, Viva!!!!