Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

Kwamba sasa hivi tunawaiga Uganda? Najua umeishiwa, ila sikujua kama umeishiwa kwa kiwango hiki!
Hata Angola walimkataa Lissu kuingia nchini mwao. Watu wa vurugu na takataka hawatakiwi duniani na mbinguni pia.
 
Arudi kwao akatetee genZ

Sisi tuna wanaharakati wetu

Na hatujawa na upungufu wa wanaharakati

Hata Maria sarungi naye arudi huku tu
 
Hata Angola walimkataa Lissu kuingia nchini mwao. Watu wa vurugu na takataka hawatakiwi duniani na mbinguni pia.
Angola haina tofauti na Tanzania. Usichanganye dunia na nchi zenye siasa za kipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…