Martin Maranja Masese (MMM) apokonywa simu zake na polisi

Kwa haya yanayoendelea nchini sijui uongozi wa nchi hii unataka kuwatia hofu wananchi hadi tuogope kutembea njiani au ni nini? Mbona haya matukio ya ukamataji na utekaji yanafanyika sana kwa viongozi wa vyama vya upinzani?!
 
Matapeli wa siasa uchwara ndio mtaogopa sisi tupo tu tunapiga vinywaji kama kawaida.
 
Sina maana ya kuunga mkono yanayoendelea ila Chadema wangetafuta njia nyingine ya kufanya mambo yao mana huwezi kushindana na serikali na ukashinda, walishapewa green light ya kupata Kitu 2025 ila naona wanataka kumpanda kichwa serikali.
 
Chadema wanakiwanda cha uongo by,JK Kikwete
 
Wanachukuaje simu bila kumkamata sasa
Labla polisi walikuja kama wezi wanavyofanya, wakainyakuwa simu yake na kukimbia nayo kuingia kwenye difenda lao na kuhepa
 
Pamoja na UCHAWA wako, wakimalizwa wale utafuata wewe.
 
Sina maana ya kuunga mkono yanayoendelea ila Chadema wangetafuta njia nyingine ya kufanya mambo yao mana huwezi kushindana na serikali na ukashinda, walishapewa green light ya kupata Kitu 2025 ila naona wanataka kumpanda kichwa serikali.
Chadema wanatekana by Dk w.slaa

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…