Martin Maranja Masese (MMM) apokonywa simu zake na polisi

Mbowe ni gaidi aliachiwa kwa huruma tu na hapa masese na genge lake wajiandae tuliwaonya waache kuchezea aman ya taifa letu

USSR
 
Jamani hii Nchi yetu sote. Na ukiona Jamii ina watu wake wote wenye mawazo na mitazamo inayofanana , ujue kwamba hiyo ni jamii mfu.
Kuna mtu kakatazwa kuwa na mawazo tofauti? Shida inakuja pale unapotaka kulazimisha hayo mawazo Yako tofauti Kwa njia za kinyume na sheria na zinazoleta taharuki.
 
Kwa haya yanayoendelea nchini sijui uongozi wa nchi hii unataka kuwatia hofu wananchi hadi tuogope kutembea njiani au ni nini? Mbona haya matukio ya ukamataji na utekaji yanafanyika sana kwa viongozi wa vyama vya upinzani?!
Mtanikumbuka sana, si kwa mabaya bali kwa mazuri ! Tuko wapi sasa kwa wale mlioshangilia Kifo cha Mpendwa wetu. Mlkaa kuvumisha hata kabla ya kufariki badala ya kumuombea apone. Sasa yamewakuta. Kwa hili pamoja na kwamba hayafurahishi ila tukikumbuka kwa jinsi watu wao walivyoshereheka Kifo cha ndugu yetu Kipenzi, nashindwa kuendelea kuwaonea huruma, hata kama siungi Mkono HIVI vitendo wanavyofanyiwa. Na wao Walikosa Ubinadamu wakati wa Kifo cha JIWE ( RIP).
 
Kuna mtu kakatazwa kuwa na mawazo tofauti? Shida inakuja pale unapotaka kulazimisha hayo mawazo Yako tofauti Kwa njia za kinyume na sheria na zinazoleta taharuki.
Anayalazimisha je. Maana ni kazi yetu sisi wapiga Kura kusikiliza jamaa wanavyojinadi au kutangaza sera zao au hata kutoa maoni yao , na sisi tukayapima. Atakayeshawishika na mawazo yao anawaunga mkono muda ukifika November 2024 na November 2025. Tusiogope Vivuli tu !
 
Kwa hiyo hayo maandamano ya Samia must go ndio sanduku la kura Hilo au maoni tofauti?
 
Kwa hiyo hayo maandamano ya Samia must go ndio sanduku la kura Hilo au maoni tofauti?
Lakini si pande zote wamekuwa wakutupiana vijembe na mipasho, mpaka wengine wameoteshwa Mikia na hivyo si binadamu tena bali wanyama. Na wakati mwingine ukishamgeuza binadamu kuwa mnyama, hata anaweza kupoteza ule utu na kuanza kufikilia kama Mnyama na kutafuta tena namna ya kurudisha utu au ubindamu wake, na hapo ndipo tunaanza kusikia kauli za kitata na mihemuko kama hizo. Imani ya mwana Tanu-Binadamu Wote Ni sawa ! Bado imani hii tunaienzi kwa Vitendo kwa nyie wa upande wa rangi yetu pendwa ??.
 
Maandamano ni marufuku
 
Samiah must go
Hii kauli tata. Ambiguous slogan, and if you bring someone to court because of uttering or promoting such a statement, without indicating further violent acts or criminal deeds, you cant indict some one on this basis. Ni politics hizi na zinapaswa kuwa addressed politically, siyo mpaka huko tunakoelekea sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…