Martin Maranja Masese (MMM) apokonywa simu zake na polisi

Hivi wanatukana au wanaikosoa serikali ya sa100?
Wanatukana mtu akimuita rais ana akili za kuku sio tusi ,chura kiziwi sio tusi ,msagaji sio tusi

Hawa kina Boni, mnyika, masese Sativa na Mdude wanatakiwa kuwa jela kabisa wanatutukania Rais wetu

USSR
 
Wenzetu wana teknolojia za kulipua pagers huko huku wananyang'anya watu simu zao!
 
Unajiita Xi JinPing harafu unasema laana , unadhani Xi Huwa anacheka na kima kama wa Chadema? 😬😬
Xi Jinping hacheki na kima ila si unaona maendeleo ya kiuchumi, teknolojia, manufacturing na infrastructure yanaonekana
 
Daah Iphone 15 na S23 Ultra ndiyo basi hazirudi tena hizo ,MAKARAO wanasepa nazo.
 
Sheria ipi imevunjwa, taja 2,3 hivi
 
Sina maana ya kuunga mkono yanayoendelea ila Chadema wangetafuta njia nyingine ya kufanya mambo yao mana huwezi kushindana na serikali na ukashinda, walishapewa green light ya kupata Kitu 2025 ila naona wanataka kumpanda kichwa serikali.
Nani kakudanganya mwendo ni uleule wewe ulidhani utekaji utaendelea?
 
Utaishia kuhamgaika na vi komenti miaka nenda rudi JF jengo la yule unayesema anauza Mayai, pambana na hali yako pambaf.

View attachment 3099870
Ufugaji unalipa.kwa mtanzania kuwa na mjengo wa Hivyo ni indicator ya devnt.polisi walioenda kumkamata wamepanga chumba kimoja na sebule.Ningekuwa ndiyo polisi nisingekubali huo upuuzi.
 
simu zake wamezikamatia wap gentleman?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…