kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Utekaji ule ulikuwa ni wa hatari si ule tunaojua, huu ulikuwa wa sinema za kimafia. Watekaji walilibana basi kwa mbele na nyuma, mmoja akasimama na bunduki dirishani kwa dereva, wengine wakaingia ndani ya basi mpaka kwenye kiti alichokaa wakiongozwa na mmoja wao aliyekuwa abiria ambaye aliteremka na wenzake walipotimiza misheni yao ya utekaji, kwa hali hiyo yeyote angejaribu kupiga picha ni wazi naye wangeteremka naye.Asilimia kubwa watu wana simu janja
Mpaka maiti wanapiga picha na kuzirusha
Ina maana tukio hilo hata mmoja hakupiga hata picha moja?
Lazima wapo
Daa walidhamiriaWaliingia na silaha wakaonya yoyote atakayeshika simu wanaondoka naye
Una uhakika???Waliingia na silaha wakaonya yoyote atakayeshika simu wanaondoka naye
Watakuwa waling'oa hizo kamera kwa makusud kwa maagizo kutoka juui ili kuwanusuru watekaji.Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff.
Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga ambapo dereva wa basi hilo alisema kuwa gari hilo halikuwa na camera na hivyo ni ngumu kupata picha ya nini hasa kilitokea ndani ya gari.
"Tukielekea Sahare, Tanga kwenda kumsitiri mzee #AliMohammedKibao tumekutana na wanetu TASHRIFF Express eneo la Mbwewe, basi ambalo alitekwa na kushushwa pale Kibo, Tegeta. Tumezungumza na dereva, ni kweli gari hilo halina camera. Ngumu kupata picha halisi ya kilichotokea ndani"
SOMA PIA: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
🤣🤣 Hata Mimi wakati nakusoma first time nilicheka sana 🤣🤣 ulinipunguzia stressIla nyinyi humu mnavituko sana. Nimecheka balaa. Asante mkuu kwasababu imepunguza majonzi hahaha
Acha porojo jamvin wewe panua wigo mpana.🤣🤣 Hata Mimi wakati nakusoma first time nilicheka sana 🤣🤣 ulinipunguzia stress
Muuwane wenyewe huko mumsingizie bibi. Koma.Watanganyika amkeni,hule bibi hapana hapana hapana
Kumsimamisha kazi ni kumtuliza akili yeye na konda wake.Kumsaidia asiweweseke na kukutana na dhahma yoyote.Inaonekana ungekua mamlakani ungekua unasukuma watu ndani bila sababu za msingi sasa dereva hapo kosa lake lipi mpaka asiwepo kazini
Kisa? Au serekali inahofia dereva atasema ukweli? Kama serekali ikimtishia huyo dereva ni ushahidi kuwa ndio wahusika.Mtakuja kumponza dereva wa watu..
Mkuu hata mie niliwaza na kujiuliza hivyo pia; Nina amini, na ninatumaini yupo walau mmoja ambae alipiga picha.Asilimia kubwa watu wana simu janja
Mpaka maiti wanapiga picha na kuzirusha
Ina maana tukio hilo hata mmoja hakupiga hata picha moja?
Lazima wapo
Sababu za kumteka zilikuwa n nini hasa?Utekaji ule ulikuwa ni wa hatari si ule tunaojua, huu ulikuwa wa sinema za kimafia. Watekaji walilibana basi kwa mbele na nyuma, mmoja akasimama na bunduki dirishani kwa dereva, wengine wakaingia ndani ya basi mpaka kwenye kiti alichokaa wakiongozwa na mmoja wao aliyekuwa abiria ambaye aliteremka na wenzake walipotimiza misheni yao ya utekaji, kwa hali hiyo yeyote angejaribu kupiga picha ni wazi naye wangeteremka naye.
Huwezi jua mpumbavu kama wewe.Who is the humble giant?
Nani amesema haya?Waliingia na silaha wakaonya yoyote atakayeshika simu wanaondoka naye
Inawezekana ingawa kuna mdau anasema waliwatishiwa kubebwa kama wakipiga pichaMkuu hata mie niliwaza na kujiuliza hivyo pia; Nina amini, na ninatumaini yupo walau mmoja ambae alipiga picha.
Sawa basi watu wote waliokuwepo ndani pamoja na dereva hawana simu?Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff.
Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga ambapo dereva wa basi hilo alisema kuwa gari hilo halikuwa na camera na hivyo ni ngumu kupata picha ya nini hasa kilitokea ndani ya gari.
"Tukielekea Sahare, Tanga kwenda kumsitiri mzee #AliMohammedKibao tumekutana na wanetu TASHRIFF Express eneo la Mbwewe, basi ambalo alitekwa na kushushwa pale Kibo, Tegeta. Tumezungumza na dereva, ni kweli gari hilo halina camera. Ngumu kupata picha halisi ya kilichotokea ndani"
SOMA PIA: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana