covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Maswali yangu haya..
1. Hivi mtu ametekwa hadharani na uhakika kabisa kulikuwa na cctv camera video za hizo cctv zi kwapi maana kama kama picha zitawaonyesha wale watekaji itajulikana wanatoka vyombo gani.
Cctv uwa zipo kwenye mabasi, pale magufuli stand zipo pia.
2. Hivi tunaviamini vipi au inawezekana vipi vyombo yenyewe vya usalama vinavyolalamikiwa vikapeleka ripoti kama tukio lilivyokuwa bila kuedit kweli mmh.
3. Kwakini wakuu wa hivi vyombo hawajawajika wala kuwajibishwa hadi sasa je? Walipewa maelekezo kutoka juu au wamechukulia kawaida tu au nini.?