Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

Hewani Iran ni zoro kuanzia defence hadi attacks and ndege F4 series wakati na mwenzake ana F35
 
Iran iache kuua wanawake wasiovaa hijabu, Hao mabinti walienda kulipiza kisasi
Unapenda sana porojo boss

Hao wanawake ni wanajeshi na marubani pia kwahiyo wanatimiza wajibu wao period

shida iko wapi
 
Unapenda sana porojo boss

Hao wanawake ni wanajeshi na marubani pia kwahiyo wanatimiza wajibu wao period

shida iko wapi
Huu mchezo hauhitaji hasira, kanywe maji ya kilimanjaro lita 1, nitalipia.

Hivi ni kweli Iran walikuwa wanadunguliwa lakini wameshindwa kudungua hata ndege moja ?
 
Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
Lakini si ulisema hawajapiga kokote maalim?
 
Huu mchezo hauhitaji hasira, kanywe maji ya kilimanjaro lita 1, nitalipia.

Hivi ni kweli Iran walikuwa wanadunguliwa lakini wameshindwa kudungua hata ndege moja ?
Mimi mbona niko poa sana boss wala sijapaniki

Yaani wapoteze silaha zao kwasababu ya kudungua ndege moja?
 
Mbona umeongea vitu ambavyo havikuandikwa kwenye link ya Aljazeera? Mfano mdogo tu hicho kipande hapo chini. Wewe umesema rada zimeteketezwa.

“Thanks to the timely performance of the country’s air defences, the attacks caused limited damage and a few radar systems were damaged,” the armed forces general staff said.“
 
Waisrael hawafagi wale ni matofali...... Baki hapohapo tutakukuta
 
Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
Yamekuwa hayo tena mtumish si ulisema kwamba vimondo vya Israel vilitunguliwa vyote
 
Kuna ndege yoyote ya Israel ilitunguliwa ??
 
Mtu mwenye akili kama ww Akili kama hizi ndo zinafany ccm iendelea kututawala
 
Mimi mbona niko poa sana boss wala sijapaniki

Yaani wapoteze silaha zao kwasababu ya kudungua ndege moja?
Ila hii dharau 😁😁

Ndio wawatumie vibinti vidogo

Vilikuwa vinajipigia tu
 
Lakini cha kushangaza mpaka sasa hatujaona picha hata moja ya hayo yote mnayo bwabwaja humu.
 
Lakini cha kushangaza mpaka sasa hatujaona picha hata moja ya hayo yote mnayo bwabwaja humu.
Iran wamezima Internet kwa miaka mingi, Kupata videos ni ngumu, unazoziona ni za watu wa serikalini wenye acces na chache zaidi za watu watundu wanaoweza kutoa vizuizi

Lakini inatosha serikali ya Iran Imekiri yenyewe na chanzo ni Al - Jazeera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…