Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Huwa sipendi porojo,swali ni hili,hao wanawake walikuwa marubani au mama lishe?Tulia dawa ikupenye, Iran ipo bize kuua wanawake wasiovaa hijab, Wanawake wa Israel wamelipiza kisasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa sipendi porojo,swali ni hili,hao wanawake walikuwa marubani au mama lishe?Tulia dawa ikupenye, Iran ipo bize kuua wanawake wasiovaa hijab, Wanawake wa Israel wamelipiza kisasi
Ni wanajeshi tena Vibinti vidogo tu, vimejipigiaHuwa sipendi porojo,swali ni hili,hao wanawake walikuwa marubani au mama lishe?
Sasa kama wanajeshi kinachokushangaza ni nini na ni marubani piaNi wanajeshi tena Vibinti vidogo tu 😀
Iran iache kunyanyasa na kuua wanawake wasiovaa hijabu, Hao mabinti walienda kulipiza kisasiSasa kama wanajeshi kinachokushangaza ni nini na ni marubani pia
Unapenda sana porojo bossIran iache kuua wanawake wasiovaa hijabu, Hao mabinti walienda kulipiza kisasi
Huu mchezo hauhitaji hasira, kanywe maji ya kilimanjaro lita 1, nitalipia.Unapenda sana porojo boss
Hao wanawake ni wanajeshi na marubani pia kwahiyo wanatimiza wajibu wao period
shida iko wapi
Lakini si ulisema hawajapiga kokote maalim?Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
Mimi mbona niko poa sana boss wala sijapanikiHuu mchezo hauhitaji hasira, kanywe maji ya kilimanjaro lita 1, nitalipia.
Hivi ni kweli Iran walikuwa wanadunguliwa lakini wameshindwa kudungua hata ndege moja ?
Nilikuwa sijui kama Mayahudi yana wadharau kiasi hicho Iran.Hao watoto wakike ni marubani au sio marubani tuanzie hapa kwanza we muisrael wa bonyokwa
Mbona umeongea vitu ambavyo havikuandikwa kwenye link ya Aljazeera? Mfano mdogo tu hicho kipande hapo chini. Wewe umesema rada zimeteketezwa.IRAN IMETHIBITISHA:
Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
- Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
- Radar zake zimeteketezwa
- Kiwanda cha makombora kimetekezwa
- Kiwanda cha drones kimeteketezwa
- Hakuna ndege yoyote ya Israel waliyoweza kuishusha
Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Iran imekiri kupoteza wanajeshi wanne.
Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran kuwadungua wanajeshi wa Iran.
Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Waisrael hawafagi wale ni matofali...... Baki hapohapo tutakukutaMuda ushaongea, Iran ilirusha makombora 200 hakuna mu Israel hata moja alieuawa
Israel imetuma watoto wa kike wakajipigie na kweli wamepiga,
Iran walianza kusema wanajeshi wawili, jana wanne, inawezekana ni wengi zaidi wanaogopa aibu ya kupigwa na watoto wa kike
Yamekuwa hayo tena mtumish si ulisema kwamba vimondo vya Israel vilitunguliwa vyoteHakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
Kwahiyo wale ni mama lisheNilikuwa sijui kama Mayahudi yana wadharau kiasi hicho Iran.
Yaani wametuma watoto wa kike!
Hiyo ni dharau iliyopitiliza.
Kuna ndege yoyote ya Israel ilitunguliwa ??Mbona umeongea vitu ambavyo havikuandikwa kwenye link ya Aljazeera? Mfano mdogo tu hicho kipande hapo chini. Wewe umesema rada zimeteketezwa.
“Thanks to the timely performance of the country’s air defences, the attacks caused limited damage and a few radar systems were damaged,” the armed forces general staff said.“
Mtu mwenye akili kama wwwiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Hadi sasa Iran imeambiwa isijibu, hadi muda huu wameonyesga kutii amri.
IRAN IMETHIBITISHA:
Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
- Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
- Radar zake zimeteketezwa
- Kiwanda cha makombora kimetekezwa
- Kiwanda cha drones kimeteketezwa
- Hakuna ndege yoyote ya Israel waliyoweza kuishusha
Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Iran imekiri kupoteza wanajeshi wanne.
Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran kuwadungua wanajeshi wa Iran.
Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Akili kama hizi ndo zinafany ccm iendelea kututawalawiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Hadi sasa Iran imeambiwa isijibu, hadi muda huu wameonyesga kutii amri.
IRAN IMETHIBITISHA:
Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
- Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
- Radar zake zimeteketezwa
- Kiwanda cha makombora kimetekezwa
- Kiwanda cha drones kimeteketezwa
- Hakuna ndege yoyote ya Israel waliyoweza kuishusha
Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Iran imekiri kupoteza wanajeshi wanne.
Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran kuwadungua wanajeshi wa Iran.
Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Ila hii dharau 😁😁Mimi mbona niko poa sana boss wala sijapaniki
Yaani wapoteze silaha zao kwasababu ya kudungua ndege moja?
Iran wamezima Internet kwa miaka mingi, Kupata videos ni ngumu, unazoziona ni za watu wa serikalini wenye acces na chache zaidi za watu watundu wanaoweza kutoa vizuiziLakini cha kushangaza mpaka sasa hatujaona picha hata moja ya hayo yote mnayo bwabwaja humu.