Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

Israel walirusha ndege 100 kwaajili ya kwenda kuiangamiza Iran kila ndege ilirusha makombora 20 kwahiyo Israel iliishambulia Iran kwa makombora elfu 2 , ila kilichopata madhara ndani ya Iran ni parachichi moja lililokua juu ya mti ndo lilianguka chini, bado watafiti wanaendelea na uchunguzi kubaini parachichi hilo liliangushwa na vikombora vya Israel au lilianguka lenyewe baada ya kuiva
 
Iran wamezima Internet kwa miaka mingi, Kupata videos ni ngumu

Lakini inatosha serikali ya Iran Imekiri yenyewe na chanzo ni Al - Jazeera
Kama hakuna Internet hizo video zinazo onesha makombora yakipanguliwa zimerushwa kwa kitumia nn?
Hivi una ujua ukubwa wa shambulizi la ndege 100?
Kubali ukatae mifumo ya ulinzi ya Iran imefanya kazi nzuri na imeonekana shambulizi la ndege 100 bila ulinzi mzuri yangekuwa maafa makubwa sana.
 
 
Ushabiki mbaya sana jamaa anaongeza habari ambazo hazipo ili aonyeshe Wazayuni wako vizuri
 

Sasa tunataka nao Iran wafanye vile vile. watume warembo wao wakapige iziraeli ili nao wakipate.
 
Wanajeshi wanne wa Iran ni maparachichi ?
 
Watoto wetu wanashindana kucheza Zuchu
 
  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zake zimeteketezwa
  3. Kiwanda cha makombora kimetekezwa
  4. Kiwanda cha drones kimeteketezwa
  5. Kwenye ndege 100 za Israel hakuna yoyote iliyoguswa
Mifumo ya ulinzi ya Iran hio
 
Umekuwa brain washed na media za kimagharibi mkuu , but hakimu wa kweli ni mda
Kwenye shambulio la Iran kurusha makombora 200 kuna mu Israel yeyote alifariki zaidi ya mpalestina moja alieangukiwa na kombora lililofeli kufika Israel ??
 
Huku ni kudhalilishwa kulikopita maelezo, Iran imepigwa na wanawake!
Kwani mwanamke siyo binaadamu kamili mwenye akili timamu? Mawazo yako ni finyu yenye kudhalilisha wanawake!!
Kwani rubani anatumia mabavu kusoma ramani na kubonyeza vitufe vya mapigo?
Kazi yake ni kuongoza ndege vita kwa ramani husika na kubonyeza vitufe vya mapigo anapokuwa yuko kwenye eneo sahihi kwa kuongozwa na mitambo iliyomo kwenye ndege vita anayoiongoza kutokana na mafunzo aliyopata na kufaulu kwa viwango vinavyotakiwa; ndiyo maana wakakabidhiwa jukumu hilo.
 
Iran wamepewa funzo kwamba wanawake wanaweza waache kunyanyasa na kuua wanawake wasiovaa hijabu
 
Inasemekana Iran hawatakuwa na uwezo wa kutengeneza makombora ya masafa marefu labda waimport kutoka nje.
Hivi unajiskia kweli wewe? Yaan viti sensitive kama makombora Iran wayatengeneza juu juu tu kama peremende? Productions za hivi vitu viko mita nyingi ardhini. Halafu achana na mambo ya inasemekana
 
Hawaelewi hawa wasabato tu waelimishe tuu pole pole Wataelewa maskini hawaelewi wanachokitetea fighter jets 100hahhah
 
  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zake zimeteketezwa
  3. Kiwanda cha makombora kimetekezwa
  4. Kiwanda cha drones kimeteketezwa
  5. Kwenye ndege 100 za Israel hakuna yoyote iliyoguswa
Mifumo ya ulinzi ya Iran hio
Weka link nyingine otherwise ni uongo.
 
Dadeki mwanangu wa kike rasmi lazima ingia upande huu , kupigania nchi yake ubaya ubwela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…