Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

Waliouawa toka vita vianze kwa Palestine na Gaza ni zaidi ya 42,000. Kaulize Al Jazeera.
 
  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zake zimeteketezwa
  3. Kiwanda cha makombora kimetekezwa
  4. Kiwanda cha drones kimeteketezwa
  5. Kwenye ndege 100 za Israel hakuna yoyote iliyoguswa
Mifumo ya ulinzi ya Iran hio
Tuoneshe ushahidi wa hayo unayo sema kwa video au kwa picha na sio kutuletea ngonjera.

Maana video za makombora kutunguliwa vipo nyingi.
 
Nizaidi ya wanajeshi wanne wairan wame kufa kibao tu..maana Leo Ayatollah alipo kuwa anahutubia wamama walibeba picha kibao za waume zao watoto wao Ayatoli..kawa mpole haamini
 
Tuoneshe hizo hasara alizo zipata Iran tuzione .
Acheni kujifariji hakuna ndege ya Israel iliyo ingia kwenye anga ya Iran bali zimefanya mashambulizi zikiwa kwenye anga la Iraq ,alafu aliye kufundisha kuwa makombora ya kwenye ndege hayatunguliki ni nani?
 
Yamekuwa hayo tena mtumish si ulisema kwamba vimondo vya Israel vilitunguliwa vyote
Iran toka mwanzo walisema kuna minor damage ya shambulio la israel, ndiyo maana wakatangaza hata wahanga wao jeshini
 
Nizaidi ya wanajeshi wanne wairan wame kufa kibao tu..maana Leo Ayatollah alipo kuwa anahutubia wamama walibeba picha kibao za waume zao watoto wao Ayatoli..kawa mpole haamini
Kumbe ayatollah anazurura tu!?..tuliambiwa kajificha shimoni
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-27-21-35-55-110.jpg
    401.6 KB · Views: 1
Lakini si ulisema hawajapiga kokote maalim?
Nilisema wapi?..mimi siku ya shambulio nililala hoi baada ya kazi ngumu za shamba, asubuhi nawasha TV naona kumbe taifa teule walishambulia na iran walisema maafa yao mapema
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-27-21-35-55-110.jpg
    401.6 KB · Views: 2
Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
He kumbe myahudi alileta uharibifu? basi mi nikajua hakuna chochote kilichoharibiwa je ni kweli pia kuwa wairan wanne wameuliwa na Israel?
 
He kumbe myahudi alileta uharibifu? basi mi nikajua hakuna chochote kilichoharibiwa je ni kweli pia kuwa wairan wanne wameuliwa na Israel?
Hivi unajua rada inavyokua!?..ni kama dish la DStv
 
Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
Si mlikuwa mnabisha kuwa Ayatolah hajachakazwa?!
 
Tuoneshe ushahidi wa hayo unayo sema kwa video au kwa picha na sio kutuletea ngonjera.

Maana video za makombora kutunguliwa vipo nyingi.

Kuna mengi makubwa na magumu yaliyotokea kwenye shambulio hili.

Vyombo vya habari vinaripoti kuwa Israel imewazuia askari na wananchi wake kusambaza picha za uharibifu uliofanywa huko Iran eti ili kuipa nafasi Iran kuendelea kuwadanganya wananchi wake kuwa kuna uharibifu mdogo ili kusiwe na pressure kutoka kwa umma kuitaka Iran kujibu mashambulizi, jambo ambalo litaharibu amani ya Madhariki ya kati:

Keep in mind: Israel had a relatively muted public posture immediately after the strikes, which was intentional, according to a source familiar with the government’s thinking, aimed at giving Iran the opportunity to downplay the strikes and avoid further escalation.

Iran’s government seemed to seize that opportunity initially, claiming the strikes caused only limited damage at military sites, even as it acknowledged that one civilian and four Iranian soldiers were killed.
 
Ndege za ndege za Israel zilianza kuingia Iran kuanzia siku ya Ijumaa, na Iran haikuweza kufanya kitu:

Some Israeli warplanes breached Iranian airspace during operation Friday, sources say.​

Wazee wapo wanapasha kidogo. Iran ikijibu tu wajuba wanakuja wale wenyewe waelaminate
 
Muiran wa matombo tupe
Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…