Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

R

Rada iliyoharibiwa inatengenezwa mkuu?? Hahahaha 🤣 🤣 🤣
Tatizo habari unategemea kuzipata kwa imhotep na imeloa,Iran walisema asubuhi yake rada mbili zimepigwa,moja iliharibiwa kidogo na waliirekebisha, nyingine iliharibiwa sana itachukua muda kuikarabati
 
Tatizo habari unategemea kuzipata kwa imhotep na imeloa,Iran walisema asubuhi yake rada mbili zimepigwa,moja iliharibiwa kidogo na waliirekebisha, nyingine iliharibiwa sana itachukua muda kuikarabati
Kiufupi iran imeaibika hadi rada zinaharibiwa vipi maeneo mengine? Maana rada ndio zinammulika adui?
 
Kiufupi iran imeaibika hadi rada zinaharibiwa vipi maeneo mengine? Maana rada ndio zinammulika adui?
Ndege 140 lakini hakuna cha maana,na zilizopigwa ni mbili tu,Iran ina rada nyingi,hivi umeziona video namna Iran ilivyokua ikitungua makombora?.. ndege 140 zinashambulia usiku kucha toka nje ya anga la iran
 
Israel hazina idadi hiyo ya ndege za kushambulia uongo acheni iran imepigika na kuchapika haswa
 
Israel hazina idadi hiyo ya ndege za kushambulia uongo acheni iran imepigika na kuchapika haswa
Marekani aliita ndege zake toka ujerumani,akajumlisha na ndege zingine toka kambi zake middle east, ndege zote za israel ni za marekani
 
L
Marekani aliita ndege zake toka ujerumani,akajumlisha na ndege zingine toka kambi zake middle east, ndege zote za israel ni za marekani
Leta ushahidi kama kweli marekani ilileta ndege toka ujerumani?! Na kuishambulia iran
 
nintchdbpict000295002975.jpg

Wanawake chini ya Ayatolah.

dr-sheila-nazarian-escaped-iran-childhood.jpg

Mwanamke wa Kiiran aliyemtoroka Ayatolah. FREEDOM.
 
Hongera kwa uongo angalia waziri wa fedha wa israel leo jumatano analia huku akihutubia anasema askari wao wanakufa sana
 
Attachments

  • IMG_1974.MOV
    1.8 MB
wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.

Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani (wakiwemo mabinti) wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Baada ya operesheni Israel ikawaambia Iran "Msijibu" , hadi muda huu wameonyesga kutii amri.

IRAN IMEKIRI:
  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zake zimeteketezwa
  3. Viwanda vya makombora vimelipuliwa
  4. Viwanda vya drones vimelipuliwa
Bonus Wanajeshi wote wa Israel walirudi salama, hakuna ndege hata moja ambayo Iran ilifanikiwa kuidhibiti.

Ila wayahudi wapo na jeuri sana, hivi kweli ndio wametuma wanawake kwenda kujipigia ? ingekuwaje wangetuma wazee wa kazi wanaoua wakuu wa Hamas, Hezbollah, n.k. ? waliochpfanya Israel ni dharau kubwa sana kwa Iran

Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes

Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Kwa kanuni ya ladies first si ajabu walipewa kipaumbele maalum kuachiwa nafasi kuwaua wanajeshi wa Iran.

Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran

Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Kwa I Israel unaweza mtambua ME OR KE ushaga mbya sana
 
Back
Top Bottom