mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Basi tuhamie ACT WAZALENDOUkisoma vizuri post yangu nimesema pia watu wenye kujua wanataka kuipeleka wapi nchi wajipange.
Lissu sio mtu mwenye kujua anataka kuipeleka wapi Tanzania, wala CDM.
Ndio maana kuna sehemu nimeandika hata sijui tunawatoa vipi hawa vibaka.
CCM ni hovyo, ila CDM ni hovyo hovyo kweli kweli; yaani mimi mtu yeyote anaeshabikia CDM katika watu wa hovyo sijui namuweka wapi.
Lipo wazi wazi Mbowe ni compromised na tapeli tu, pamoja na uozo wa CCM upinzani uliopo sio suluhisho kabisa.
Wanahitajika watu wengine sijui majina yao, ila Tanzania inao wakuwatoa CCM, lakini sio CDM (dah) hiko chama wafuasi wake lazima ni very desperate people.
Ni wazi CDM ni genge la warubuni, kwa kuanzia mwenyekiti wao Mbowe; ni watu wanaotumia shida za watanzania kwa mapungufu ya uongozi wa CCM kujinufaisha wao.
wako makini
Ova