City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Pumbavu kabisa hili, ni jitu la kupuuzwa. Wanamharibia sana mama Samia kuonekana wanawake hawawezi.Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema
Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 7 mchana akiwa mgumu msubiri jioni,"
View attachment 2796499