Nilisikia habari zake Olasiti. 😆😆😆Alikuwa muuza k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisikia habari zake Olasiti. 😆😆😆Alikuwa muuza k
Mnaotetea huu ujinga angalieni visogo vyenu.Kaongea kitu cha kawaida sana tena kilichosheheni tafsida ila kwa nongwa zenu mnatafsiri ndivyo sivyo,
kwani kuna ubaya gani ukisubiri mtu asubuhi saa 11 na umueleze tena???
Nani asiyejua kazi zinachosha mtu umetoka kwenye foleni huko halafu unaletewa habari za uchaguzi, lazima somo likuingie saa 11 asubuhi
Kwa kifupi 2025 mwendo ni mmoja tu. . . . . Chama pendwa Mbele kwa Mbele[emoji91][emoji91][emoji91]
Yaani hapo ni kipi cha "udini" nilichokiongea?We jamaa 'udini' utakuathiri kisaikolojia. Badilika. Acha kukumbatia sana udini.
-Kaveli-
Wengi wao hao ukijuwa jinsi walivyopanda hadi kufikia nafasi za uongozi walizonazo, utaelewa hayo maneno yao ya ngono hayawatoki kwa bahati mbaya.Ndiyo sasa namuelewa Mrisho Gambo aliposema degree ya chupi. Huko CCM ngono imetamalaki.
Yaani hapo ni kipi cha "udini" nilichokiongea?
Hivi nyie mapagani mbona mnaiogopa sana dini? Imewakosa nini? Dini inawatakia mema, msiiogope.
Kumbuka, serikali ndiyo (secular) haina dini inayoifata, yaani kwa maana nyingine, itahesshimu dini ya kila mtu, siyo kuwa itakataza watu wasiwe na dini zao.
Hata wanaoindesha serikali wana dini zao. Hata ukiwa pagani, hiyo ndiyo dini yako.
Tatizo nini? Ki[i kibaya kilichokuudhi wewe hapo nilichokisema?
Mchafu nini ngono au?Mchafu sana Huyu mama
Ni kwa sababu, vyote viwili havihitaji akili wala maarifa.Hiyo ni kipimo sahihi kuwa tupo kwenye taifa maskini, siku zote maskini mawazo na starehe yake ni ngono na pombe
Naona akili zimekurudia. Ni dhahiri Samia's Administration imekukatisha tamaa!Kuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?
Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.
Pambaf.
Kuna administration nzuri zaidi ya ya mama Samia?Naona akili zimekurudia. Ni dhahiri Samia's Administration imekukatisha tamaa!
Nadhani uliposema jina lake linaakisi matendo yake, nadhani mchangiaji, ame-refer kwa jina Mary, ingawa mimi nilielewa una-refer kwenye jina "chatanda".Yaani hapo ni kipi cha "udini" nilichokiongea?
Hivi nyie mapagani mbona mnaiogopa sana dini? Imewakosa nini? Dini inawatakia mema, msiiogope.
Kumbuka, serikali ndiyo (secular) haina dini inayoifata, yaani kwa maana nyingine, itahesshimu dini ya kila mtu, siyo kuwa itakataza watu wasiwe na dini zao.
Hata wanaoindesha serikali wana dini zao. Hata ukiwa pagani, hiyo ndiyo dini yako.
Tatizo nini? Ki[i kibaya kilichokuudhi wewe hapo nilichokisema?
Mary jamani si kifupi cha Mariam tu.Nadhani uliposema jina lake linaakisi matendo yake, nadhani mchangiaji, ame-refer kwa jina Mary, ingawa mimi nilielewa una-refer kwenye jina "chatanda".
Lakini huko CCM, watu ambao inaonekana vichwa vyao vinafikiria tu ngono, ni wengi. Na kwao, kikubwa wanachokiweza ni ngono, kwa sababu haihitaji akili, ndiyo maana hata mbwa na nguruwe wanafanya ngono.
Yule mwingine aliyesema kuwa afadhali Waarabu wa DP waje ili tuchanganye damu, ulimsikia? Yaani wenye akili wanafikiria manufaa ya kiuchumi ambayo nchi inaweza kuyapata, yeye cha kwanza anafikiria ngono.
Mbaguzi Botha wa Afrika Kusini aliwahi kusema kuwa, "a black person is good for nothing except sex and singing".
Ndege wa rangi moja huruka pamojaKuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?
Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.
Pambaf.
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.Ndege wa rangi moja huruka pamoja
Mhadithia mvua imemnyea![emoji56][emoji38]Kuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?
Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.
Pambaf.
Nitakuja kucomment Faiza akirudishiwa simu yake mkuu.Kuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?
Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.
Pambaf.
Sio ndege wa rangi moja ni ndege wafananao mkuu hapo umekosea.Ndege wa rangi moja huruka pamoja
Mifumo yetu kiutamaduni, kiuchumi na kisiasa hufanya hali owe au ionekane hivyo.Mke wako akijiingiza kwenye siasa,hesabu huna chako,huko inaonekana wanazagamuana kinoma.Wakienda kwenye vikao ndo kabisa,no wonder wengi wao hawajaolewa wamezalishwa tu.Wanaume wao wanafarakana nao na kuamua kuachana nao.Kwa umri wa Chatanda,ukute hana mume ila ana watoto tu,inamaana yupo huru kutoka na wababa,wazee na Serengeti boys.Mtu kama Mhagama,nadhani alifiwa mume wake,umewahisikia kaolewa,hiyo yote awe free,MAMA mwenyewe umewahi kuona anatembea na mzee... yote hiyo awe free...,makamu mwenyekiti wa UVCCM naye umewahi kumuona anatembea na mumewe....,Jokate unamjua baba wa mtoto.... yote hiyo awe huru...
Kiufupi kwenye vyama vya siasa ni hatari.
Muuza k mbovu sijawahi ona.Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema
Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 7 mchana akiwa mgumu msubiri jioni,"
View attachment 2796499