Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema

Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 7 mchana akiwa mgumu msubiri jioni,"

View attachment 2796499
Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 7 mchana akiwa mgumu msubiri jioni,"[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajijua hao,hiyo kauli hajaitamka kwa bahati mbaya!

Popote maishani hawana kingine cha ku-offer zaidi ya ngono na malezi kwa watoto zao wanaowazaa,anayekataa aje anipige makofi nipo palee nimekaa.
 
Kwa sasa makada wengi wa CCM hasa wanawake wenye vyeo vya juu ktk chama wako kama huyu Chatanda. Katibu wa itiladi na uenezi aliyepita mikutano mingi ilikuwa ikitawaliwa na kejeli kwa wanaume na mambo ya ngono kama haya. Na bado tulisikia comments za Mongella kwenye sakata la DPW. Pengine ndiyo sera ya chama kwenye uongozi huu tusiwalaum.
Ndiyo sasa namuelewa Mrisho Gambo aliposema degree ya chupi. Huko CCM ngono imetamalaki.
 
Mke wako akijiingiza kwenye siasa,hesabu huna chako,huko inaonekana wanazagamuana kinoma.Wakienda kwenye vikao ndo kabisa,no wonder wengi wao hawajaolewa wamezalishwa tu.Wanaume wao wanafarakana nao na kuamua kuachana nao.Kwa umri wa Chatanda,ukute hana mume ila ana watoto tu,inamaana yupo huru kutoka na wababa,wazee na Serengeti boys.Mtu kama Mhagama,nadhani alifiwa mume wake,umewahisikia kaolewa,hiyo yote awe free,MAMA mwenyewe umewahi kuona anatembea na mzee... yote hiyo awe free...,makamu mwenyekiti wa UVCCM naye umewahi kumuona anatembea na mumewe....,Jokate unamjua baba wa mtoto.... yote hiyo awe huru...
Kiufupi kwenye vyama vya siasa ni hatari.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema

Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 7 mchana akiwa mgumu msubiri jioni,"

View attachment 2796499
Hili lisimbe sugu toka liko arusha,utakuta kiunoni linamiliki shanga 30 utafikiria kafungiwa fence ya umeme...wasimbe wa ccm ni yale mashindikana yamejichubua kwa mikorogo ya buku 5
 
Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 7 mchana akiwa mgumu msubiri jioni,"[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hiyo ndio mida anayopendelea kuchakatwa? Kutwa mara 3 kama dose ya panadol
 
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema

Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 7 mchana akiwa mgumu msubiri jioni,"
View attachment 2796499
Chama cha Mbumbumbu
 
Huu ni udhalilishaji na kujidhalilisha...!!!

Kwamba wanawake hawawezi kujenga hoja kutetea wanachotaka kifanyike??? Huyu ..myudabliuti ajitafakari!
 
Kuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?

Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.

Pambaf.
We Bro: Mary Chatanda unamfahamu au tuseme unamsikiaga tu? Ni Presidential material, swali langu tu wanaume wenzangu ni je, are we prepared kwa awamu mbili za WAWATA zifululize?
 
Hiyo ni kipimo sahihi kuwa tupo kwenye taifa maskini, siku zote maskini mawazo na starehe yake ni ngono na pombe
 
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema

Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 7 mchana akiwa mgumu msubiri jioni,"
View attachment 2796499
Malaya
 
Kwa sasa makada wengi wa CCM hasa wanawake wenye vyeo vya juu ktk chama wako kama huyu Chatanda. Katibu wa itiladi na uenezi aliyepita mikutano mingi ilikuwa ikitawaliwa na kejeli kwa wanaume na mambo ya ngono kama haya. Na bado tulisikia comments za Mongella kwenye sakata la DPW. Pengine ndiyo sera ya chama kwenye uongozi huu tusiwalaum.
Kama hajajiweka sawa na yeye atakuwa "aliyepita", inabidi afahamu kuwa CCM kilirithi maadili kwa wazee walioiunda TANU.

Utamaduni amba mpaka leo upo, kabla ya kila mkutano ni lazima ilikuwa inaombwa dua.

Sasa huyo maneno kama hayo anaimba dua kweli kwenye mikutano yake?

Ni mjinga tu, hata jina lake linajionesha wazi.
 
Back
Top Bottom