Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

Kuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?

Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.

Pambaf.
Kwa sasa makada wengi wa CCM hasa wanawake wenye vyeo vya juu ktk chama wako kama huyu Chatanda. Katibu wa itiladi na uenezi aliyepita mikutano mingi ilikuwa ikitawaliwa na kejeli kwa wanaume na mambo ya ngono kama haya. Na bado tulisikia comments za Mongella kwenye sakata la DPW. Pengine ndiyo sera ya chama kwenye uongozi huu tusiwalaum.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema

Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 7 mchana akiwa mgumu msubiri jioni,"

View attachment 2796499

You wonder why hatuendelei , this type of pathetic leaders
 
Back
Top Bottom