GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
ccm mna akiba za ubaya wote.
Ni zaidi ya sodoma
 
Karibu tena
 
ccm mna akiba za ibaya wote.
Ni zaidi ya sodoma
Baadhi ndio Sodoma kwani huko Chadema hakuna Sodoma? Mbona Mbowe mwenyekiti wenu alizaa na Joyce Mukya akampa hadi ubunge viti maalumu? Wakati mkewe wa Ndoa Daktari bingwa Muhimbili

Kweli nyani haoni kundule
 
umeshasema vijana hawana uzoefu na unauliza wakaupatie wapi? bungeni sio short course, waende chuo cha uongozi wakasome,

hao vijana wanasimamiwa sawa sawa ndio maana ufanisi unauona, vijana wameajiriwa tra wizara ya afya jeshini watumie nguvu zao kulijenga taifa

bungeninwanaenda kutunga sheria kuisimamia serikali, huna uzoefu ukamsimamie mwenye uzoefu mbona changamoto ya akili hii,

hukufaulu usaili tra bungeni ndo tukupeleke, tunahitaji kufikiri marambili, huyo kijana wenu mtoto wa waziri mstaafu hebu akamsaidie babake kunywa dawa za pressure, serikali awaachie wazoefu.
 
umeshasema vijana hawana uzoefu na unauliza wakaupatie wapi? bungeni sio short course, waende chuo cha uongozi wakasome,
Mjinga wewe Msukuma,kibaji, darasa la saba nk wamesoma chuo gani cha uongozi? Kuwa wabunge? Kibajaji darasa la saba alimpiga chini ubunge waziri.mkuu mstaafu Malecela na usomi wake na midigrii yake kibao na uzoefu wake kimataifa kibao

Vijana wasiwaogope hawa wazee vikongwe ving'ang'anizi wapambane hadi kieleweke
 
wahamasishe wapambane sio kutukana, tumia hekima tuone ujana wako una maana, narudia wabunge vijana waliowekwa na jpm wameprove hawawezi, bunge limegeuka sehemu ya ajira watu kujipatia kipato, kinyume na malengo ya chama, wewe nenda kagombee sio ku pressurize wenzako wewe uko pembeni,
 
Baadhi ndio Sodoma kwani huko Chadema hakuna Sodoma? Mbona Mbowe mwenyekiti wenu alizaa na Joyce Mukya akampa hadi ubunge viti maalumu? Wakati mkewe wa Ndoa Daktari bingwa Muhimbili

Kweli nyani haoni kundule
Ndi maana tumemtimua na genge lake
 
Kama kuna mtu angeona vijana wajinga hawawezi mabibi vizee Maria Nyerere na Mama Karume wangegombea ubunge kwa kuwa hawaamini vijana mbona wametulia kimya? Sababu wanawaamini vijana kuwa kila kitabu na enzi zake hivi vizee vikongwe vikina Nagu na Lukuvi nk vijinga sana vinadhani kitabu published kinakuwa relevant muda wote hakuna new edition

Wajinga sana wao sio Biblia au Kuruani

Vijana msiwaogope kuwapiga chini kwanza kwa sensa vijana ndio mko wengi pigeni chini vikongwe hivyo bila woga wala nini?
 
hajawahi ajiriwa RFA umemfananisha
Nilishindwa kumaanisha vizuri. Nilikuwa namanisha kwamba, nikiwa mdogo miaka ya katikati tisini nilikuwa namsikia akitajwa kwenye taarifa ya habari Mary Nagu kama vile alikuwa waziri wa afya. Sikumanisha alikuwa mtangazaji, la hasha! Yaani alikuwa ni kiongozi, sasa kipindi hicho eneo tulilokuwa ilikuwa inasikika RTD na RFA!
 
Mc eddy
 
Tunahitajia akina Steven Wassira + Mzee Malecela + Pius Msekwa wa kutosha au sio
 
Mmh huyu Mary Nagu, nakumbuka Mimi wakati mdogo Sana nilikuwa naliona jina lake kwenye Baraza la mawaziri,
Maana enzi hizo tulikuwa na calendar imewekwa dining, kila ukiwa unakula lazima usome, nikajikuta nawajua mawaziri wote!
Sasa hivi nazeeka kumbe bado anagombea!!!!
Mmmh haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…