DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
yaani mwijaku babalevo chifgudlove shilole harmonize ndo wawe wabunge tutakuwa na sheria za aina gani?Ila CCM kuna tatizo. Vijana wote hao lakini eti kibibi kinautaka
siogombee mwenyeweHawa dawa ni kuwanyima kura tu
kahudumu ubunge muhula mmoja tu akimdodosha waziri mkuu alioko madarakani ujue how strong she is. ni sawa na Dr. Kimei nimsikia tangu nikiwa mtoto lakini hakuwa mbunge alikuwa mtumishi wa bankHalafu kwa kumbukumbu zangu kama ziko sawa ni kwamba hili jimbo la Hanang mbunge wake alikua Sumaye then alivyoondoka ndo akachukua huyu mama before hapo alikua mbunge viti maalum, so km ni ubunge wa hilo jimbo ni miaka 10 au 15 ndo amewahi kutumika... Kwenye pisi kali zilizowahi kufanya siasa za Tanzania huyo mama alikua wa moto sana..
Anna abdallah bado anagombea ubunge toka nikiwa mtoto namsikia mpk nishavuka miaka 30+Bado Zakhia Meghji na Anna Abdallah
Ndiyo ana njaa unatakiwa ujue Viongozi wengi siyo wafanyabiashara kwahiyo wakitoka kwenye ofisi baada ya miaka 5 kupita njaa inawaingia kwasababu zile pesa za kuokota za Wananchi zinakua zimeisha. Na huyu sijui kama ajira yake ilikua na pension.kwahiyo unadhani ananjaa? we vipi huwezi wakilisha watu una njaa utaishia kuwa chawa
Kweli mkuu, Dr. Kimei alikua mkurugenzi wa CRDB Bank kwa miaka mingi baada kuondoka CRDB ndo akagombea ubunge.. Kwa mtu kama Kimei pesa sio tatizo so kugombea ubunge ilikuwa kuongeza tu CV, Just imagine uwe mkurugenzi wa CRDB kwa miaka zaidi ya ishirini ni mchezo..kahudumu ubunge muhula mmoja tu akimdodosha waziri mkuu alioko madarakani ujue how strong she is. ni sawa na Dr. Kimei nimsikia tangu nikiwa mtoto lakini hakuwa mbunge alikuwa mtumishi wa bank
alikuwa mkurugenzi wa PSRC anakosaje pension, wewe kagombee nae kama una ubavuNdiyo ana njaa unatakiwa ujue Viongozi wengi siyo wafanyabiashara kwahiyo wakitoka kwenye ofisi baada ya miaka 5 kupita njaa inawaingia kwasababu zile pesa za kuokota za Wananchi zinakua zimeisha. Na huyu sijui kama ajira yake ilikua na pension.
Unakumbuka kipindi kile niliposhindwa na Joseph Selesini kwenye ubunge kule homu?Anna abdallah bado anagombea ubunge toka nikiwa mtoto namsikia mpk nishavuka miaka 30+
cc secretarybird
mkuu hawa ndo wanahitajika bungeni anaujua uchumi nje ndani, sio tunapeka bungeni mwijaku na babalevo kisa vijanaKweli mkuu, Dr. Kimei alikua mkurugenzi wa CRDB Bank kwa miaka mingi baada kuondoka CRDB ndo akagombea ubunge.. Kwa mtu kama Kimei pesa sio tatizo so kugombea ubunge ilikuwa kuongeza tu CV, Just imagine uwe mkurugenzi wa CRDB kwa miaka zaidi ya ishirini ni mchezo..
HahahAnna abdallah bado anagombea ubunge toka nikiwa mtoto namsikia mpk nishavuka miaka 30+
cc secretarybird
Kwani wajukuu zake wanasemajeWakuu,
Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Dkt. Nagu, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Hanang kwa vipindi kadhaa na pia kuhudumu kama Waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema amerudi tena kuomba ridhaa ya wananchi kupitia chama chake ili kuendeleza kasi ya maendeleo na kulinda maslahi ya wananchi wa Hanang.
swali la nyongezaAmesahau Nini bungeni...
Wakae watulie nao!Wakuu,
Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Dkt. Nagu, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Hanang kwa vipindi kadhaa na pia kuhudumu kama Waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema amerudi tena kuomba ridhaa ya wananchi kupitia chama chake ili kuendeleza kasi ya maendeleo na kulinda maslahi ya wananchi wa Hanang.