Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

Asee Mkuu Chizi Maarifa huo Uzi wako umenifanya nianze siku vizuri maana kwangu ni Kama Comedy story. Yaani hapo kwenye Mtoto kulia usingizi unamuuma na pale anapoambiwa na mamayake atapanda Gari ya babake Kama adhabu takeπŸ˜…πŸ˜
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ chupi ya sister imekuwa mask
 
Kwangu Mimi sitaki mchezo,watoto hawawezi kuleta ujinga mbele yangu hata siku za mapumziko huwa hawana Raha sometimes,naweza kuwafurahisha siku moja moja Hadi wananishangaa,lakin uso wangu muda wore unaamrisha Jambo hata Kama kuna mtoto alikuwa analia akihisi uwepo wangu tu atanyamaza tu.simu yangu hii hawez shika mtoto labda ya mama yao Napo nikiwepo Mimi marufuku Sasa wenzangu mnagombania remote na watoto! My last born ana 3years lakin Hadi push up anapiga dadeeki😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Bwahaaaaahaaa [emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Eti tema mate tumpige mgeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Haki nimecheka asubuhi hii mmh[emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Kuna matoto mawili ya anko aliyazaa fasta fasta,kipind yakiwa madogo yalinifanya nisiende kwa anko,ukienda ukiwa getini linakuzuia kuingia ,ukilazimisha linaanza kukuitia mwizi
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji16][emoji1787]

Utasikia " mwizi huyoooooo
 
Kama uncle wangu alivyokuwa akininyoosha nami ndivyo ninavyowanyosha watoto wa sisters zangu wawili. Hivi niongeavyo sisters zangu wananishukuru kwasababu watoto wao wamebadirika Sana. Kulelewa kiyai yai kunaharibu watoto, isingekuwa uncle wangu yule sijui ningekuwaje sasa maana shule nilikuwa sitaki kabisa na nikisusa kwenda mama haniambii kitu. Hongera zako uncle Bonny kwakutunyoosha
 
Kwahyo dadaako anafuga tushetaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hizo ni athari zetu waafrika kuiga mambo ya UZUNGU. Asilani siwezi mdekeza mtoto
 
Hahahaha ila we umetisha zaidi
 
Haya malezi wanayolea hao watoto wao yatakuja kuwa kero sana baadae mpaka kwa wazazi wenyewe, ikiwa tu sasa hiyo jehanamu wanaiona kawaida tu

Hivi mtoto anaanzaje kudandia dandia watu?? Kwanini watoto wanalilia simu za wakubwa jamani??

Kiukweli hayo sio malezi ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…