[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu umenikumbusha miaka ya 90 ,nilienda kwa baba mdogo. Kuna mtoto mwenye umri ambao anaweza kutembea.
Kimbembe kilinza alipoanza kunyweshwa uji.
Akizingua anaambiwa tema mate tumpige mgeni. anatema mate kwenye kiganja chake ,kisha anakuja kwangu anaipiga plus kuniachia mate yake. Mara ya kwanza sikuelewa kilichotokea, nikahisi naota. alivyorudia mara ya pili nilimuachia konzi ambalo hadi leo hajawahi kulisahau na nikajiondokea zangu
Cha muhimu kila mtu akae nyumbani kwake na maujinga yake
Safi kabisa.sisi tuna watoto wadog wadog zaid ya hao m8aka 2, wengine 4 wengine 5 8 ni amri moja.asubuj wakiaamka jiko lipo maji yalishatengwa wanachota wanaenda nayo bafu wanapoza wanaoga. wakileta za kuleta wanakula makofi heavy.
hakuna hizo za kushika simu ya mtu wala kujitia kulia lia wakat wa kula.ni makofi na bakora
adabu imesimamana nyumba ina watoto zaid ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Kofi la mdomo [emoji23][emoji23]Ni ugenini mkuu unapaswa kuficha uhalisia wako.
Imagine linakuja unazungumza linakupiga kofi la mdomo kwa kukushitukiza na linaambiwa " We Ivan jamani mbona hivyo" linaanza kulia kisa limeambiwa hivyo [emoji45]
Daaah[emoji1][emoji1][emoji1]Mfinye katikati ya mgongo huku umemkazia macho, atalia hawezi kuonyesha alipofinywa maana mikono yake mifupi mwisho unawaambia kaumwa na sungusungu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah mkuu nimecheka sana eti nikamwachia konziMkuu umenikumbusha miaka ya 90 ,nilienda kwa baba mdogo. Kuna mtoto mwenye umri ambao anaweza kutembea.
Kimbembe kilinza alipoanza kunyweshwa uji.
Akizingua anaambiwa tema mate tumpige mgeni. anatema mate kwenye kiganja chake ,kisha anakuja kwangu anaipiga plus kuniachia mate yake. Mara ya kwanza sikuelewa kilichotokea, nikahisi naota. alivyorudia mara ya pili nilimuachia konzi ambalo hadi leo hajawahi kulisahau na nikajiondokea zangu
Cha muhimu kila mtu akae nyumbani kwake na maujinga yake
Mimi kwa kweli, huwa siaangalii ni mtoto wa nani, natoa kifinyo havi, kile cha Kung'ang'ania kama siafu. Na kama akijifanya ni mgumu kuomba msamaha atashangaa naondoka na kipande cha ngozi. Huwa sipigi kwa fimbo mimi...!!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu umenikumbusha miaka ya 90 ,nilienda kwa baba mdogo. Kuna mtoto mwenye umri ambao anaweza kutembea.
Kimbembe kilinza alipoanza kunyweshwa uji.
Akizingua anaambiwa tema mate tumpige mgeni. anatema mate kwenye kiganja chake ,kisha anakuja kwangu anaipiga plus kuniachia mate yake. Mara ya kwanza sikuelewa kilichotokea, nikahisi naota. alivyorudia mara ya pili nilimuachia konzi ambalo hadi leo hajawahi kulisahau na nikajiondokea zangu
Cha muhimu kila mtu akae nyumbani kwake na maujinga yake
πππStop it Junior..Please..that's bad..Your a bad boi..
Alisikika mdada mmoja hivi mweusi tii..ila uzungu mwingi..
Ukiona vitoto vinaitwa Junia..kevin..colin..queen na majina ya aina hiyo tambua hapo ni zero malezi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app