Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

Ni sister wako wa ukoo labda, sister wa damu mmoja unaenda kwake halafu uone aibu kurekebisha ishu ndogo hivyo?
Au itakuwa hamkukua pamoja?
 
Jina lako limesadifu mkuu [emoji28]
 
Kuna matoto mawili ya anko aliyazaa fasta fasta,kipind yakiwa madogo yalinifanya nisiende kwa anko,ukienda ukiwa getini linakuzuia kuingia ,ukilazimisha linaanza kukuitia mwizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu uzi unarudiwa kila mwaka [emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo baba mkubwaa ukafika na kucharaza watu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]safii sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jmn uwiiiiiiiiiiiiii
 
Ni ugenini mkuu unapaswa kuficha uhalisia wako.
Imagine linakuja unazungumza linakupiga kofi la mdomo kwa kukushitukiza na linaambiwa " We Ivan jamani mbona hivyo" linaanza kulia kisa limeambiwa hivyo 😟
Malezi ya hivyo hatari sana.
 
Bora umshauri kuhusu malezi kukaa kimya sikumoja pia yatakuhusu kumbuka ni wajomba hao.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

😀😀😀
Poleni.
Unaweza umiza toto kwa hasira asee
 
Sipendi watoto watundu watundu, kuna siku nipo hosp. Kuna mtoto kama miaka 6 hivi akaja kavamia Mkoba anataka kuufungua nikamshika mkono kwa upole, nikauminya ule mkono huku namwongelesha nikimkazia macho, “Unaitwa nani? Ninachapaaaaa! Kakae pale utulie, nilimminya kweli kweli na hakurudi tena kwangu.
 
Haya majina ya juniya Mara junio mara junyia any way Junior yanashida aisee. Kuna mdada na katoto kake anakaitaga junioo basi mama yuko busy na mitaaa mara huku mara huko kitoto kinaingia kwny biashara za watu utasikia tuu juniooo. Basi bwana siku hyo kameingia dukani kwangu kaibe si kakapitia kwny grill za duka wakati kinapitisha kichwa kikapita tuu vzr sasa ndo akitoe kichwa atoke kichwa kikagomaa weee nikasema ki junioo leo kitanifia hapa mama yake hakuwepo yuko huko mtaa wa pili. Nikakiwasha kwanza kofi kwa sbb kalikua kanalia so ikawa fresh tuu mtu akija anajua kinalia kichwa hakitaki kutoka. Mama mtu anakuja jamani junioo nikasema mnasueni mm simo kama mtaita fundi apanue grill haya. Nikamchana mmaa yake nikamwambia ulinzi wa mtt unaanza na yy mama sio kuona fahari mtoto kila kipande cha mtaa yupo.
 
All in all the Thread was good. Mnakumbuka zile conclusion za Essay kuanzia form two. Hukosi "all ina all" ,to conclude i can say .....
 
😂😂Yani mijuniooo ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…