Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

Je, Tanzania ilipata Uhuru wake kutoka kwa mkoloni gani ????
Nafikiri ni wakati muafaka wa kuepuka na kuacha kabisa upotoshaji.
Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
 
Nchi ya Tanganyika huru ilipata uhuru wake siku ya tarehe 9-12-1961, na kwa upande wa Zanzibar wao walipata uhuru siku ya tarehe 10-12- 1963. Huu ndio ukweli wenyewe ijapokuwa unafichwa kwa kisingizio cha uwepo wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), ama Tanzania

Muungano uliopelekea JMT ulikuja kutokea baadaye, yaani tarehe 26-4-1964. Kamwe haiingii akilini wala kuleta simulizi zenye mantiki, sijui eti kuna kumbukumbu ama maadhimisho ya kitu ambacho hakina "attribution" ya moja kwa moja.

Historia ya nchi mbili zenye kuunda JMT inaptoshwa kwa makusudi ili kulinda maslahi ya kisiasa na ya kihistoria ya CCM. Ndiyo maana siku ya uhuru wa Zanzibar inakwepwa kwa makusudi ili kuyapa utukufu na sifa zaidi Mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuja kutokea tarehe 12-1-1964.

Hali kadhalika ndivyo inavyofanyika katika nchi ya Tanganyika. Baada ya ujio wa JMT, jina Tanganyika likatokomezwa kwa makusudi ili kupisha utukufu na sifa zaidi ziende kwa JMT.

Kwa vyovyote iwayo vile, kamwe haiwezekani kukwepa kufanya maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika na kwa makusudi ya kimaslahi ya kificho na kutaka kuchanganya na dhana dhaifu ya kile kinachoitwa uhuru wa Tanzania. Uongo ukisemwa sana pasipo ya kukanushwa, watu huuamini kuwa ni ukweli.

Katika hili mkuu Paskali naomba tukubali kutofautiana.
 
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.

Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
ndiyo mumeamka leo baada ya miaka 60 ya usingizi?
 
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.

Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.

View attachment 2837078
December 9 TANGANYIKA.
 
Ni kweli kabisa, Tanzania haijawahi kupata Uhuru. Zilizopata Uhuru ni nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar, wala siyo Tanzania. Ni UPOTOSHAJI mkubwa sana kusema kwamba tarehe 9 Disemba kila mwaka ni siku ya kumbukizi ya Uhuru wa Tanzania.
Mnamo 9 Disemba, 1961 hapakuwa na kitu kinachoitwa Tanzania.
Endapo kama Tanzania ilipata Uhuru tarehe 9 Disemba, Je, ilipata Uhuru kutoka kwa mkoloni yupi?? Je, Mkoloni yupi alikuwa anaitawala hiyo 'nchi ya Tanzania' kabla ya kujipatia Uhuru wake??
Nchi ya Tanganyika huru ilipata uhuru wake siku ya tarehe 9-12-1961, na kwa upande wa Zanzibar wao walipata uhuru siku ya tarehe 10-12- 1963. Huu ndio ukweli wenyewe ijapokuwa unafichwa kwa kisingizio cha uwepo wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), ama Tanzania

Muungano uliopelekea JMT ulikuja kutokea baadaye, yaani tarehe 26-4-1964. Kamwe haiingii akilini wala kuleta simulizi zenye mantiki, sijui eti kuna kumbukumbu ama maadhimisho ya kitu ambacho hakina "attribution" ya moja kwa moja.

Historia ya nchi mbili zenye kuunda JMT inaptoshwa kwa makusudi ili kulinda maslahi ya kisiasa na ya kihistoria ya CCM. Ndiyo maana siku ya uhuru wa Zanzibar inakwepwa kwa makusudi ili kuyapa utukufu na sifa zaidi Mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuja kutokea tarehe 12-1-1964.

Hali kadhalika ndivyo inavyofanyika katika nchi ya Tanganyika. Baada ya ujio wa JMT, jina Tanganyika likatokomezwa kwa makusudi ili kupisha utukufu na sifa zaidi ziende kwa JMT.

Kwa vyovyote iwayo vile, kamwe haiwezekani kufanya maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika na kwa makusudi ya kimaslahi ya kificho kutaka kuchanganya na dhana dhaifu ya kile kinachoitwa uhuru wa Tanzania. Uongo ukisemwa sana pasipo ya kukanushwa, watu huuamini kuwa ni ukweli.

Kuna kundi linapotosha ukweli kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi ya taifa la Tanganyika.Na mbaya zaidi wanaofanya hivi ni watanganyika wenyewe na hapa ndipo ule msemo wa wahenga unapata usanifu ulio dhahiri kabisa kwamba"Mchawi hatoki mbali"

Watanganyika tulisalitiwa na watanganyika wenzetu,tukaupoteza Utanganyika wetu na kujivika Utanzania,uku Wazanzibar waka ona mbali wakakataa kuupoteza utaifa wao wa kizanzibar.

Lazima Utanganyika na Tanganyika ipiganiwe kwa nguvu,maana hili sio shamba la Bibi kwa watu toka kisiwani.

RIP mchungaji Christopher Mtikila
 
Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P

Habari P,
Tenga kati ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako na adhimisho la kuzaliwa kwako.
 
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.

Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.

View attachment 2837078
Masikini mwalimu nyerere ungejua hawa wazanzibari muungano hawautaki. Hawataki kuitwa watanzania, wamekataa Tanzania visiwani, wamerudisha Zanzibar yao.
Watamganyika tumefanyiwa wajinga na ccm yako milele
 
Uko sahihi. Kabla ya 1964 hakukuwa na nchi inayoitwa Tanzania.

Nadhani neno Uhuru wa Tanzania Bara linakuja kutokana na kutokuwepo kwa hiyo Tanganyika kwa Sasa.
Tanganyika ilikufa kibudu 1964 baada ya kuungana na Zanzibar.
Yaani nchi mbili huru zinaungana, moja inakufa moja inaendelea kuexist, haya nayo ni maajabu.
 
Ni sawa kabisa, lakini wakati huo hakuna aliyejuwa kuwa hali itakuja iwe mbovu kama ilivyo fikia sasa.
Kweli majuto ni mjukuu!
Pengine yeye alikuwa na maono ambayo wengi hawakuyaelewa.

Hili jambo la ukombozi wa Tanganyika lilifika bungeni KABLA ya harakati za Mtikila.

Si sahihi kusema Watanzania hawakumuelewa Mtikila ilhali wananchi walishalipeleka mpaka bungeni kupitia G55 ya kina Generali Ulimwengu.

HAIL TANGANYIKA
DOWN WITH TANZANIA
 
Baada kuzaliwa Tanzania Wajanja ndio wakaja na dhana ya Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Cha ajabu bila unafiki visiwani wao wakasema nchi yao ni zanzibar kikatiba, na jins tanzania visiwani likawa mfu. Hata huko ccm sijawasikia tena kutumia huo utambulisho. Hivyo Zanzibar imekubalika.
Tanganyika hata mkisema imekufa swali Zanzibar imeungana na nani? Kuna wilaya ya Tanganyika, kuna Tanganyika law society na medical council na kubwa zaidi Kuna watanganyika wa kutosha wanaotaka utambulisho huo mioyoni mwao.
 
Back
Top Bottom