Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Dada acha wivu...mada ni TanganyikaMbowe bado yuko Hanang?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada acha wivu...mada ni TanganyikaMbowe bado yuko Hanang?
Ni kweliHii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078
Acha kupotosha historiaHaja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Porojo nyingi za nini , mbona uzi umejieleza wazi tu ?Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!

Nchi ya Tanganyika huru ilipata uhuru wake siku ya tarehe 9-12-1961, na kwa upande wa Zanzibar wao walipata uhuru siku ya tarehe 10-12- 1963. Huu ndio ukweli wenyewe ijapokuwa unafichwa kwa kisingizio cha uwepo wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), ama TanzaniaHaja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
ndiyo mumeamka leo baada ya miaka 60 ya usingizi?Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
December 9 TANGANYIKA.Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078
Nchi ya Tanganyika huru ilipata uhuru wake siku ya tarehe 9-12-1961, na kwa upande wa Zanzibar wao walipata uhuru siku ya tarehe 10-12- 1963. Huu ndio ukweli wenyewe ijapokuwa unafichwa kwa kisingizio cha uwepo wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), ama Tanzania
Muungano uliopelekea JMT ulikuja kutokea baadaye, yaani tarehe 26-4-1964. Kamwe haiingii akilini wala kuleta simulizi zenye mantiki, sijui eti kuna kumbukumbu ama maadhimisho ya kitu ambacho hakina "attribution" ya moja kwa moja.
Historia ya nchi mbili zenye kuunda JMT inaptoshwa kwa makusudi ili kulinda maslahi ya kisiasa na ya kihistoria ya CCM. Ndiyo maana siku ya uhuru wa Zanzibar inakwepwa kwa makusudi ili kuyapa utukufu na sifa zaidi Mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuja kutokea tarehe 12-1-1964.
Hali kadhalika ndivyo inavyofanyika katika nchi ya Tanganyika. Baada ya ujio wa JMT, jina Tanganyika likatokomezwa kwa makusudi ili kupisha utukufu na sifa zaidi ziende kwa JMT.
Kwa vyovyote iwayo vile, kamwe haiwezekani kufanya maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika na kwa makusudi ya kimaslahi ya kificho kutaka kuchanganya na dhana dhaifu ya kile kinachoitwa uhuru wa Tanzania. Uongo ukisemwa sana pasipo ya kukanushwa, watu huuamini kuwa ni ukweli.
Katika hili mkuu Paskali naomba tukubali kutofautiana.
Kuna kundi linapotosha ukweli kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi ya taifa la Tanganyika.Na mbaya zaidi wanaofanya hivi ni watanganyika wenyewe na hapa ndipo ule msemo wa wahenga unapata usanifu ulio dhahiri kabisa kwamba"Mchawi hatoki mbali"Nchi ya Tanganyika huru ilipata uhuru wake siku ya tarehe 9-12-1961, na kwa upande wa Zanzibar wao walipata uhuru siku ya tarehe 10-12- 1963. Huu ndio ukweli wenyewe ijapokuwa unafichwa kwa kisingizio cha uwepo wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), ama Tanzania
Muungano uliopelekea JMT ulikuja kutokea baadaye, yaani tarehe 26-4-1964. Kamwe haiingii akilini wala kuleta simulizi zenye mantiki, sijui eti kuna kumbukumbu ama maadhimisho ya kitu ambacho hakina "attribution" ya moja kwa moja.
Historia ya nchi mbili zenye kuunda JMT inaptoshwa kwa makusudi ili kulinda maslahi ya kisiasa na ya kihistoria ya CCM. Ndiyo maana siku ya uhuru wa Zanzibar inakwepwa kwa makusudi ili kuyapa utukufu na sifa zaidi Mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuja kutokea tarehe 12-1-1964.
Hali kadhalika ndivyo inavyofanyika katika nchi ya Tanganyika. Baada ya ujio wa JMT, jina Tanganyika likatokomezwa kwa makusudi ili kupisha utukufu na sifa zaidi ziende kwa JMT.
Kwa vyovyote iwayo vile, kamwe haiwezekani kufanya maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika na kwa makusudi ya kimaslahi ya kificho kutaka kuchanganya na dhana dhaifu ya kile kinachoitwa uhuru wa Tanzania. Uongo ukisemwa sana pasipo ya kukanushwa, watu huuamini kuwa ni ukweli.
Katika hili mkuu Paskali naomba tukubali kutofautiana.
Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Masikini mwalimu nyerere ungejua hawa wazanzibari muungano hawautaki. Hawataki kuitwa watanzania, wamekataa Tanzania visiwani, wamerudisha Zanzibar yao.Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078
Na huu ndio ukweli wenyewe. Naunga mkono hoja.Tanganyika ni nchi yetu
Ni sawa kabisa, lakini wakati huo hakuna aliyejuwa kuwa hali itakuja iwe mbovu kama ilivyo fikia sasa.
Kweli majuto ni mjukuu!
Pengine yeye alikuwa na maono ambayo wengi hawakuyaelewa.