DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nasemaje ? Yule dogo arudishwe dojo.....haeezi mkono na raia ata proect vipi viongozi? Atalindaje katiba na installation xoore nchini hayuko physical fit ?
 
Jamaa sijui alitema shit gani mpaka ashushiwe kipondo nusu achapwe shaba.
Ni kesi kubwa kwa kajamba nani, ila kama yupo karibu na wenye vyeo na anafanya kazi zao vyema basi hamna kesi hapo kibongobongo
Nadhan bastola Haina risas maana naona alo koki akapiga akakutana na msunyo wa bunduki kua Haina risas ,inaonyesha alidhamiria Leo iwe mazishi ,,
 
Wwe shukuru unapata bunye kirahisi, kuna wenzako pesa wanazo kazi nzuri wanazo ila kupata demu ndiyo mziki, mwisho wa siku hadi wazimu unawapanda hadi kuzuru mtu kisa mbunye inayo safari kila mwisho wa mwezi!!
Sasa kama una pesa ugumu unatoka wapi na zinauzwa kila rangi na kila size kama peremende?
 
Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi.

Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu kama Chief Abayomi) alianzisha fujo na kujaribu kumpiga risasi Julian Bujulu baada ya kutokea sintofahamu kati ya Derick na Julian iliyosababishwa na Derick kujaribu kulazimisha kuondoka na mwanamke aliekuwa ameenda kustarehe katika Club hiyo akiambatana na Julian.

Taarifa zinaeleza zaidi kwamba Derick ni mtu mwenye mke na watoto na kwamba mwanamke anayehusishwa na ugomvi huo ni Dada yake Julian ambapo walikuwa wametoka pamoja kwenda kwenye starehe.

Kwa mujibu wa mashuhuda, ghasia zilianza baada ya Derick kutaka kuondoka na mwanamke huyo kwa nguvu bila kujali yupo na kina nani, jambo lililopelekea Kaka mtu kuingilia kati akizuia Dada yake kuondoka na Derick. Mzozo huo ulipopamba moto, Derick alitoa bastola akiwa na lengo la kumpiga risasi Julian lakini kwa bahati nzuri, bastola ya Derick iligoma kutoa risasi. Baada ya kushindwa kupiga risasi, kwa hasira Derick aliamua kumpiga Julian kichwani kwa kutumia kitako cha bunduki hiyo na kumsababishia majeraha makubwa.

Kamera za CCTV katika klabu hiyo zimenasa tukio zima jinsi Derick alivyotenda na kusababisha majeruhi makubwa kichwani yaliyopelekea kuwahishwa hospitali na baadae kuhamishiwa Hospitali ya Muhimbili ambapo amelazwa kwa matibabu zaidi.

Mpaka wakati huu, Derick Lima anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Oysterbay huku uchunguzi ukiendelea. Kuna wasiwasi mkubwa kwamba haki haitatendeka kutokana na uhusiano wake wa karibu na wakubwa. Mpaka sasa kuna baadhi ya “Matajiri” wa mjini ambao wamekuwa wakimtumia Derick katika kukwepa kodi na kutekeleza mambo yao haramu wamekuwa wanaendelea na jitihada kuhakikisha anatoka mikononi mwa polisi bila kuwa na kesi.

Polisi wamechukua mashine za CCTV katika Club hiyo na katika kuhakikisha mmiliki wa Club hiyo anaminywa na asitoe ushirikiano, wameachia makusudi video inayomuonyesha mmiliki huyo akifanya mapenzi na mmoja wa aliekuwa mfanyakazi wake katika moja ya ofisi za Club hiyo.


UPDATE: Polisi wamemkamata Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'
Tatizo ni TISS siku hizi wanajaza wahuni wa uvccm watupu
 
Hii Dunia imejaa maovu mengi sana hadi inakera.Mtu anawezaje kurusha na wengine kuangalia video ya ngono ya Boss kama siyo kukosa akili?

But I'm sorry, hiyo video nami ninawezaje kuipata niangalie kidogo?
 
Hii Dunia imejaa maovu mengi sana hadi inakera.Mtu anawezaje kurusha na wengine kuangalia video ya ngono ya Boss kama siyo kukosa akili?

But I'm sorry, hiyo video nami ninawezaje kuipata niangalie kidogo?
Hivi mmiliki si Sniper M ina maana yeye ndio alikuwa anapiga show store 😆
 
Back
Top Bottom