Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Kwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.

Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.

Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.

Au mi nimeelewa tofauti!?
Nadhani umekaa mita 200, hata hiyo video hujaona? Polisi kapiga risasi huku akizozana na Malima kwa ghadhabu na si kutawanya watu ndio maana pamoja na kufyatua risasi watu hawajakimbia kabisa.
 
Labda usubiri siku utakayopewa zamu ya kupokea jeneza langu Airport. Otherwise, endelea na majukumu yako ya ulinzi dada.
Mdomo wako sio utendaji, mimi ni mwanaume najua sina ushabiki na mambo ya kijinga.
Watanzania mnjifanya kujua kila kitu, kutukana askari wakati mnalindwa na hao askari nyie ni pimbi sana.

Unajiita mwelevu ilihali ukiona mjusi unaogopa.
 
Hajavunja sheria yoyote hapo kupiga risasi juu kwenye msongamano wa watu ambao walitaka kuvunja sheria.

Mkuu kwani unafikiri hilo hawalijui wanajua sana, lengo kuu la mleta mada ni kutaka kujenga hoja ya kuanza kulahumu jeshi la Polisi na Uongozi uliopo madarakani - wako hell bent kutaka ku-incite watu wachukie Jeshi la Polisi - ni wazushi kama nini, eti "risasi zililindima" ukimuuliza risasi ngapi zilivyatuliwa kwenye tukio - hana jibu!! Je, Askari kama hasingefyatua risasi hewani unafikiri aliyekuwa anatuhumiwa kwa wizi raia wengemfanya nini, angeuwawa saa hizi mitandao ya jamii ingejaa lawama za kudai kwamba askari wetu ni wazembe sana badala ya kumuokoa mtuhumiwa, wao wanakaa kando wakishuhudia Mtanzania mwenzao anauwawa kikatiri na wananchi - vigeugeu tu kila kitu wanakileta hapa for political reasons.
 
Sababu ya kufyatua risasi ni ipi?
Sababu hakuna kwa mujibu ya hiyo clip ila nimesema yupo sahihi kama lengo lilikuwa ni kutishia tu wananchi waweze kutoa kiwingu ila maneno aliyokuwa anayatoa plus kumgusagusa Malima imeua dhana nzima ya kupiga risasi hewani (kimsingi nilikuwa ninarespond comment ya mdau ambae alikuwa anaona kitendo kile ni sahihi)
 
Zipo sehem special hutakiwi kupark gari kabisa ila sio mtaani. kama upo mtaani nje ya barabara na uko ndani ya gari sio issue.
Umezungumzia office za IMO na unajua mambo ya ya terrorism ?? Ndio Maana pia nikauliza hao majembe walimshika kwa sababu zipi kodi au wrong parking na Kama ni wrong parking ni ya namna gani ? Sehemu ya security risk au? Hii yote ili ku assess gravity of the offence .
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyo malima simwana ccm huyo ..acheni wafu wazikane wao kwa wao...haya nimaandiko ya biblia kwass tunao isadiki..waacheni wafu wazike wafu wenenzao
 
Mdomo wako sio utendaji, mimi ni mwanaume najua sina ushabiki na mambo ya kijinga.
Watanzania mnjifanya kujua kila kitu, kutukana askari wakati mnalindwa na hao askari nyie ni pimbi sana.

Unajiita mwelevu ilihali ukiona mjusi unaogopa.
Andika kiswahili vizuri basi, mbona unaharibu matumizi ya "L" na "R"?
 
Eti yeye ameapa sasa kuapa kwako ndio ufyatue risasi mchana katikati ya jiji kwa swala ambalo unalimaliza kwa maongezi tu.
 
Back
Top Bottom