Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
[emoji23] [emoji23] kuna polisi wamevaa nguo za CCM hapo
Bunduki tena za nini jamani???
Bunduki tena za nini jamani???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani umekaa mita 200, hata hiyo video hujaona? Polisi kapiga risasi huku akizozana na Malima kwa ghadhabu na si kutawanya watu ndio maana pamoja na kufyatua risasi watu hawajakimbia kabisa.Kwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.
Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.
Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.
Au mi nimeelewa tofauti!?
Mdomo wako sio utendaji, mimi ni mwanaume najua sina ushabiki na mambo ya kijinga.Labda usubiri siku utakayopewa zamu ya kupokea jeneza langu Airport. Otherwise, endelea na majukumu yako ya ulinzi dada.
Hajavunja sheria yoyote hapo kupiga risasi juu kwenye msongamano wa watu ambao walitaka kuvunja sheria.
Sababu hakuna kwa mujibu ya hiyo clip ila nimesema yupo sahihi kama lengo lilikuwa ni kutishia tu wananchi waweze kutoa kiwingu ila maneno aliyokuwa anayatoa plus kumgusagusa Malima imeua dhana nzima ya kupiga risasi hewani (kimsingi nilikuwa ninarespond comment ya mdau ambae alikuwa anaona kitendo kile ni sahihi)Sababu ya kufyatua risasi ni ipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mambo flan mkanda wa bendera
Umezungumzia office za IMO na unajua mambo ya ya terrorism ?? Ndio Maana pia nikauliza hao majembe walimshika kwa sababu zipi kodi au wrong parking na Kama ni wrong parking ni ya namna gani ? Sehemu ya security risk au? Hii yote ili ku assess gravity of the offence .Zipo sehem special hutakiwi kupark gari kabisa ila sio mtaani. kama upo mtaani nje ya barabara na uko ndani ya gari sio issue.
Wameambiwa wachape kazi tuhuyo polisi atakuwa hana vyeti
Andika kiswahili vizuri basi, mbona unaharibu matumizi ya "L" na "R"?Mdomo wako sio utendaji, mimi ni mwanaume najua sina ushabiki na mambo ya kijinga.
Watanzania mnjifanya kujua kila kitu, kutukana askari wakati mnalindwa na hao askari nyie ni pimbi sana.
Unajiita mwelevu ilihali ukiona mjusi unaogopa.
Mimi sio mwalimu wa kiswahili najua umeelewa nilichokusudia kusema.Andika kiswahili vizuri basi, mbona unaharibu matumizi ya "L" na "R"?
Hawa jamaa ni watemi sana mitaani, lkn Kibiti....!!