Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Haya mambo hasa yanayowakuta watu maarufu msiya amini saaana.

Wakati mwingine ni michezo tu,kuchezeana
 
kuna post moja ya siku za nyuma kule Insta Masanja aliupost msambwanda wa mke wake alafu akaandika,"mke mwema hutoka kwa bwana",sasa ndo nimejua huyo bwana kumbe ni katibu wa kanisa,,,!
πŸ˜‚πŸ˜‚Dah
 
Nimekumbuka maneno ya mzee (babu) mmoja mtaani kwetu uko mkoa alinambia mjukuu wangu uyu Bibi yako nilishamfumania na mwanaume ndani lakini leo nimezeeka nae. Aisee na wanapendasana mpaka mtaani tunawaita wapendanao
Tatizo sio kugongewa tatizo ni pale unakuja gundua marehemu kakuachia Mali yake kama urithi ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…