Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Matako yako masanja, hamna kanisa hapo. Wanaume hatuko hivyo.
 
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA

Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa

REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA

BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.

SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE
 
Duuh! Raia siyo watu wazuri Hadi connection yake ipo,,,, nimewaahindwa wa Waswahili aisee
 
Wakristo mna moyo sana!!

Mtume Muhammad (pbuh) anasema kuwa mwanamume asiye na wivu hatoonja hata harufu ya pepo (hatoingia peponi).

Biblia inasema kuwa moja ya kisababishi cha talaka ni pale mkeo anapozini!!

Mathayo 5:32 BH​

Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.


Hapo ili kuponya maumivu ya moyo ilitakiwa ni kutolewa talaka. Hakuna jambo linauma kama kujua kuwa unagongewa mkeo. Atajifanya kujisahaulisha hilo tukio ila hatosahau mpk anazama udongoni
Mambo ya wakristu waachie wakristu
 
View attachment 2374942

Kayaandika haya

KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!!
Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa.
NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU.
Hili nalo litapita🙏🏿
TUOMBEENI NASI TUNAOMBA.
MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
Wewe umeiweka kama amemsamehe. Mimi naiweka kama amegoma kuamini kama mkewe kam cheat. Yaan anaweza kua anaamini Marehemu Katibu alijiua sababu alimtaka Mke wa Boss wake akakataliwa.

So hapo Mke anaonekana ni shujaa kwa kukataa kuchepuka hadi kupelekea mtu kujiua, tofauti na wengine wanaomuona ni msaliti.

Hizi mambo zina justification nyingi, labda Mke alikua akimwambia Masanja nyendo zote za Katibu so Masanja alikua anajua jinsi mkewe anavyotakwa na anavyojaribu kutoa nje.

Lakini pia Marehemu Katibu kajiua wakati Masanja akiwa nje, je alienda nje kuzuga ili huku litokee la kutokea? Kajiua kweli? Sio katundikwa? Nimewaza tu.
 
Back
Top Bottom