Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Mchungaji Masanja nimekuelewa na Mungu wa mbinguni akutie Moyo nasi wapendwa katika Umoja wa Roho Mtakatifu na Ushirika wa Bwana wetu Yesu Kristo tunakuombea!, amen!

Johnthebaptist
Mpende tu hata aki naniliu umpende tu japo roho inauma penda tuuu!!........Masanja utakija penda visivyo pendeka kwa ajili ya meko!
 
Hakuna mtu anaweza akasema kwa uhakika kabisa kwamba hachapiwi...Ila kukoseana adabu ni pale unapochapiwa halafu ukajua...huyo marehemu kaacha tafrani kubwa kama alichoandika ni kweli.
Katibu alikua ana real love kwa Monica,..Monica akaona huyu bwege ili kumuondoa relini apewe Mke.....akaliambia utaendelea kutafuna na huku,...alipo oa tu akabwagwa......Katibu akastuka kaingizwa cha kike

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Alichostuka mchunga kondoo ni kondoo kuliwa na wanyama mwitu.

Akahisi kufichuka kwa madudu yake ya safari za huko mbele.

Kaona isiwe shida,

Damu inaongea, ardhi iliona kila kitu, ngoja tungojee ardhi ituletee nakala halisi ya tukio.
 
Mchungaji Masanja nimekuelewa na Mungu wa mbinguni akutie Moyo nasi wapendwa katika Umoja wa Roho Mtakatifu na Ushirika wa Bwana wetu Yesu Kristo tunakuombea!, amen!

Johnthebaptist
MWAMBIE MASANJA ASOME KITABU CHA KUMBUKUMBU YA TORATI 22:22
 
Mpende tu hata aki naniliu umpende tu japo roho inauma penda tuuu!!........Masanja utakija penda visivyo pendeka kwa ajili ya meko!
Kuteleza sio kuanguka, laiti na ya wanaume sisi yangewekwa hadharani ndio pasingekalika, amsamehe amejifunza wasonge mbele.
 
Back
Top Bottom