Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Huyo mwanamke aache ujinga. Hakuna mwanamme anayeweza kudamehe umalaya, Tena ndani ya penalty area. Jamaa kajifanya amesamehe kumbe anamfanyia timing
Uchunguzi ufanyike kwa kina na Polisi ijulikane ni kweli huyo katibu kajiua ye mwenyewe au wahuni wa mjini washakamilisha yao kisha wakacheza sarakasi za changa la macho
 
Hivi kuna mtu anaamini hizi taarifa?

Kwani kuna katibu wa filifriichachi kafariki? Kama kafariki kweli je ni kwa kujinyonga? Kama hakuna katibu wa masanja kufariki basi habari hizi ni za uzushi.

Mimi mpaka sasa ni 50/50.
 
1664738652877.png

Sura tu inajieleza kuwa ni msanii hamna kitu hapo, haombi wala kushukuru
 
View attachment 2374942

Kayaandika haya

KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!!
Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa.
NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU.
Hili nalo litapita🙏🏿
TUOMBEENI NASI TUNAOMBA.
MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
karma... ukiona mtu kakubal tukio km hlo simple simple tu bc jua na yy kuna tukio alishawah kulifnya hapo zaman...
 
Hivi kuna sehemu iliyoandikwa kuwa aliyekuwa analiwa ni Monica wa Masanja au kwa sababu jina tu ni Monica basi mnaunganisha matukio. Mitandao inatupeleka pabaya sana sisi watz
 
Hivi kuna sehemu iliyoandikwa kuwa aliyekuwa analiwa ni Monica wa Masanja au kwa sababu jina tu ni Monica basi mnaunganisha matukio. Mitandao inatupeleka pabaya sana sisi watz
Mwenye kukandamiziwa mke amekubali kwamba katibu alikua anamsaidia kugusa pale yeye aliposhindwa kugusa. Wewe Ni Nani uwe na mashaka? Au unautaka ukatibu uwe tabibu?
 
Sio bure na yeye atakua muumin wa michepuko tu kaweka jambo kwenye mizani kaona liishe tu ila madem wana siri hawa
Mpuuzi tu huyo. Anaacha kutumia nguvu kubwa kustawisha penzi kwa mke wake, yeye anawekeza kwenye u chawa, na kuhubiri UZURI WA TOZO kwenye madhabahu!
 
Mungu samehe .Kale katoto ka kwanza Kama kamefanana na katibu jamenoooo
Hivi katibu alianza kuratibu Mambo kitambo?
Halafu eti bwege limesamehe.
Kumsamehe mtu aliyekusaliti makusudi Ni ujinga uliopitiliza.
Nini kinakufanya uamini hatachukuliwa na wengine?
Umalaya hauna tiba.
 
Mada zile mbili za kutangaza skendo zimetrend ile mbaya .. Hii ya msamaha imelala
Mode of the story: binadamu hufurahia mabaya/majanga ya wengine kuliko mazuri yao.. Hapa kama Masanja angetangaza kumpiga chini mkewe ingetrend zaidi
 
Back
Top Bottom