Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

tatizo sio kusamehe,tatizo nimaisha baada yakusamehe....kuipata amani ni ngum sana
 
IMG_0978.jpg

ila jamani uzinzi mbaya,sasa hapa bibie sijui atakuwa na maisha ya amani tena kama mwanzo!!!au ndio tusubiri baada ya miezi kadhaa kusikia bidada ajiondokea baada ya kukosa amani ya ndoa.
 
Wakristo mna moyo sana!!

Mtume Muhammad (pbuh) anasema kuwa mwanamume asiye na wivu hatoonja hata harufu ya pepo (hatoingia peponi).

Biblia inasema kuwa moja ya kisababishi cha talaka ni pale mkeo anapozini!!

Mathayo 5:32 BH​

Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.


Hapo ili kuponya maumivu ya moyo ilitakiwa ni kutolewa talaka. Hakuna jambo linauma kama kujua kuwa unagongewa mkeo. Atajifanya kujisahaulisha hilo tukio ila hatosahau mpk anazama udongoni
Du noma
 
Wewe mwenyewe umeelewa nini , niandikie pm ulivyoelewa😁😁😁😁
Haina haja ya pm
Jamaa anajua fika anashambuliwa kwa ajili ya alicho nacho...kuvumilia ndiko kulipa gharama ya huduma
 
View attachment 2374942

Kayaandika haya

KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!!
Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa.
NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU.
Hili nalo litapita🙏🏿
TUOMBEENI NASI TUNAOMBA.
MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
Kama ni kweli, huyo mama hatakiwi/hana sifa za kuwa mke wa mchungaji!mchungaji au mkewe hatakiwi hata kuhusishwa tu na tuhuma zozote!though siukubali uchungaji wa huyu jamaa(usanii mwingi)
 
Kama mtuhumiwa kajiadhibu mwenyewe kwa kujirestisha in peace,swala la kuamua kusamehe au kutokusamehe ni la mlengwa mwenyewe,yuko sahihi,kaamua kusamehe...
 
View attachment 2374942

Kayaandika haya

KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!!
Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa.
NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU.
Hili nalo litapita[emoji1545]
TUOMBEENI NASI TUNAOMBA.
MTETEZI WETU YU HAI[emoji1545]
Kwahiyo gharama ya kazi yake ya kanisa la kuigiza kimchongo ni kuchapiwa?
Vijana pelekeni CV, nafasi ya katibu ipo wazi....hana adabu huyu masanja.

Wakati anajigalagaza kwenye madaraja na kumsifia Magu akasahau kujigalagaza chumbani, akasaidiwa.

Somo: Uchawa haulipi. Daaadeki
 
Inauma lakini ndoa katika hiki kizazi swala la kuchapiwa ni kawaida maana hata wanaoolewa wengi walishapoteza bikra

Acha kuhalalisha u-simp. Kuoa asiye na bikira na kuchapiwa havikaribiani kabisa. Kuchapiwa ni kukosewa adabu. Kusamehe baada ya kuchapiwa ni kujikosea adabu. Na kuleta mambo yenu hadharani ni kukosa akili.
 
Acha kuhalalisha u-simp. Kuoa asiye na bikira na kuchapiwa havikaribiani kabisa. Kuchapiwa ni kukosewa adabu. Kusamehe baada ya kuchapiwa ni kujikosea adabu. Na kuleta mambo yenu hadharani ni kukosa akili.
Hakuna mtu anaweza akasema kwa uhakika kabisa kwamba hachapiwi...Ila kukoseana adabu ni pale unapochapiwa halafu ukajua...huyo marehemu kaacha tafrani kubwa kama alichoandika ni kweli.
 
Nimelisema hili kwenye uzi mwingine
Halafu utakuta linapita bila upelelezi bongo nyoso

Kama ni kweli, huyo mama hatakiwi/hana sifa za kuwa mke wa mchungaji!mchungaji au mkewe hatakiwi hata kuhusishwa tu na tuhuma zozote!though siukubali uchungaji wa huyu jamaa(usanii mwingi)
.Masanja ni FAKE, Nabii wa Uongo,

Muda utaongea.
 
Mchungaji Masanja nimekuelewa na Mungu wa mbinguni akutie Moyo nasi wapendwa katika Umoja wa Roho Mtakatifu na Ushirika wa Bwana wetu Yesu Kristo tunakuombea!, amen!

Johnthebaptist
 
Back
Top Bottom