Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Matako yako masanja, hamna kanisa hapo. Wanaume hatuko hivyo.
 
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA

Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa

REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA

BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.

SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE
 
Msiba wa katibu uko wapi? Maziko Ni lini na wapi?
 
Duuh! Raia siyo watu wazuri Hadi connection yake ipo,,,, nimewaahindwa wa Waswahili aisee
 
Mambo ya wakristu waachie wakristu
 
Wewe umeiweka kama amemsamehe. Mimi naiweka kama amegoma kuamini kama mkewe kam cheat. Yaan anaweza kua anaamini Marehemu Katibu alijiua sababu alimtaka Mke wa Boss wake akakataliwa.

So hapo Mke anaonekana ni shujaa kwa kukataa kuchepuka hadi kupelekea mtu kujiua, tofauti na wengine wanaomuona ni msaliti.

Hizi mambo zina justification nyingi, labda Mke alikua akimwambia Masanja nyendo zote za Katibu so Masanja alikua anajua jinsi mkewe anavyotakwa na anavyojaribu kutoa nje.

Lakini pia Marehemu Katibu kajiua wakati Masanja akiwa nje, je alienda nje kuzuga ili huku litokee la kutokea? Kajiua kweli? Sio katundikwa? Nimewaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…