Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Waajameni kwani katibu kavuta?? au kajivutisha mbona siwaelewi mara MC pilipili wa Zamani...na sasa namsikia Katibu...sijui wa kanisa au katibu wa safari za Israel!!

Mke wa Mtumishi wa Mungu wa kweli haliwi kizembe ivo!...ni sawa na kumchezea Mungu...na nyie wadada mnao fanya na wacgungaji acheni mara moja!...Nisawa na Abosalom alikula mke wa Daudi hadhalani.....

kilichompata Heeeee!! dogo hakuwa na nafasi ya kutubu.........moja kwa moja fireni!!........ kila mtu anakijua!!....ni kawaida utafanya safiii!! utaburudika lkn huna mwisho mwema Duniani na ahera!

ukizidi Mungu atakunyima hata nafasi ya kutubu!
 
Hilo jambo alikiwea mzee Madiba peke yake hakujali wasifu wake bali alipiga chini Winnie.
 
Unaweza ukasahau changamoto nyengine nyingi tu, lakini hii yakuchapiwa na ni mke umpendae kwa dhati huwa haitoki moyoji. Huwa tunajitutumua tu ili kuituliza jamii.
kujifanya tu! mie nikupende halafu ukachapwe na jitu lingine mweee!!....lazima nikuroge mbaya tu! utembee kinyume nyume maisha yako yote! km siyo kukuua kabisaaaaa!! usiniulize ntaua wangapi??...ila mtavuta wengi...........

ASIKUDANGANYE mtu bana Mapenzi yanauma km Kidonda kibichi.!! watu wanakufa/chizika ajili ya Mapenzi.....sasa kwa nini niteseke mie utamu wangu lichukue jitu tena wazi wazi?

Hivi mnamjua Doddy Fayed nyie?? au mna sema! sema tu??....sasa mjiulize yuko wapi?? .kwanza nitajifanya sijui chochote, then Naanza ku deal na wewe!! tunamalizana kimya kimya!!

Africa watu mliuzwa km Mbuzi wa kafara ajili ya Mashamba ya biashara ili, kufurahisha wapenzi... Kule ulaya, usa, nk watumwa baru baru handsome, walihasiwa maksudi ili wasifanye mapenzi! na wake za wafuga watumwa!

lkn bado me watumwa walikuwa wanajiiba wanafanya ivo! vivo! tu wengi waliuawa kwa risasi!
 
Kuna shida mahala. Hii siyo kawaida, na hata ingekuwa lakini siyo kwa wakati huu.

Anyway, inasaidia kumrejeshea mwanamke roho ya kukabili macho ya wanajamii.
 
Mwambieni tu atulie.
Sasa atakuwa ameiona sura ya halisi YA KIUMBE ANAYEITWA MWANAMKE.
 
Kuna mwamba yupo somewhere anajifua kuchukua nafasi aliyoiacha katibu na anaandaa mashambulizi sio ya kuchukua point 3 tu hapana anaandaa mashambulizi ya kuchukua point 6 zote yaan atapiga home atapiga na away subiri siku zitaongea.. akishachapiwa mara ya pili sijui ataiweka wapi sura yake

😂😂😂
 
Hii movie watu walitegemea kuwa Masanja atamuacha mke wake sasa matarajio yamekua tofauti hapo ndio wanahamasisha uchunguzi uendelee...Masanja kumtoa hapo labda mtumie Bulldozer linalovuta vitu visito sana...
 
Huyo mwanamke ni Malaya atat*ombwa Sana, Bora umuache
mke wa mtu akishagongwa nje kwisha. Mwanamke ni tofauti na mwanaume ambaye anaangalia physical contacts tu akitoka hapo anasahau
 
Kweli nimeamini wabongo kwa mambo ya kufanyana/zinaa! hamjambo kabisa!... Dakika kumi ni nyingi Uzi ume-trend huu si kawaida! km ulee!! wa kula kimasihara!!!

lkn uzi wa kujifunza kiingereza Maweee!! haujajaa hata kurasa moja!....hali inakuwa mbaya zaidi mpaka na vidada navyo vina comment! vinakaza ma-midole hayo km nini!!...

yaani vi-wamama/vidada vinapendaaaa!! mambo hayo ya chini mnoo! vikiombwa, oooh! kanibaka huyo/yule! ikifika jioni leo duuu!! lkn pia Massanja ujue fika kuwa.......

ndo gharama za umaarufu hizo! km Pengo, kikwete Gwaji boy kayapitia!.......Lazima uwe na kifua hasa! tena kila mara ujiweke tayari kuyapokea, vinginevyo utaishia kujinyonga buuuure au......

Wabaya wako watatumia huo huo! Mwanya Kukuua kabisaa, halafu wanasingizia umekunywa sumu au umejinyonga ajili ya kuchapiwa na hicho ki mama! kitaishi kwa taabu sana! Masimango!

kubaguliwa kusiko isha, kila aendapo Madole hayooo!....Masanja ujue hata shetani yuko kazini kila wakt hapendi unavo Mkanyaga na kumzomea yeye atatumia udhaifu uliopo! ili kukumaliza!

Kazana hasa hapo! sasa mkeo a-keep distance na waumini wa kawaida awe mke wa Mchungaji hasa waumini wakawaida wasimzoee bado mbichi huyo! shetani ni rahisi kujichnganya na waumini wako dhaifu alipo mkeo!!

ataingizwa majaribuni maksudi tu, huyo siyo M-mama ni msichana mrembo tu, japo kazaa na weye! bado sheta atatumia ma predeshjee wabichi! waje kumshawishi tu aliwe tunda, halikwepeki hiloooo!

si unajuwa kuna wanakwaya wengi duniani wainjilisti wameangukaaa??....chali na weye bado mchanga kazi kwako mtumishi.......Ujue na wewe pia ni Mungu km baba yako ni Mungu! jilinde.......
 
Hii ndo tunaita siri ya ndani!kachapiwa lkn nje inambidi aongee hayo anayoongea lkn ndani huko kunawaka moto!refer mke wa gwajima, ilibidi nae akubali kuwa ule mkono sio wa gwajima ni wa baunsa!hahaha ndo ndoa zilivyo!hana namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…