Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Kuna vitu ndani ya ndoa havivumiliki.Kimojawapo ni Uchepukaji.Mwanamke anayechepuka ni rahisi kurubuniwa na michepuko yake ili akudhuru wewe njia kuu. Masanja anachukulia poa ila ajiandae na yajayo
Yajayo yanasikitisha.
 
Una busara sana mpendwa πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸΏ
 
Kipi kingine kibaya zaidi kinaendelea kinawafanya wakubali hii aibu kuibeba.
Kwanini mke anakubali kubeba hii aibu?
Kwanini mume anakubali kujibebesha huu unaoitwa ubwege?

HAMSHTUKI TU?
Hapa kunaishu ,inawezekana masanja kammudu mbaya wake.
 
Kipi kingine kibaya zaidi kinaendelea kinawafanya wakubali hii aibu kuibeba.
Kwanini mke anakubali kubeba hii aibu?
Kwanini mume anakubali kujibebesha huu unaoitwa ubwege?

HAMSHTUKI TU?
Hapa kunaishu ,inawezekana masanja kammudu mbaya wake.
 
Hakuna mtu aliyetaka masanja amuache mkewe bali watu tunajiuliza ikiwa ni kweli huyu dada anaweza pata nguvu za kukemea zinaa madhabauni?
Kwanini asipate nguvu na nyie wenyewe mnakiri kuwa Mungu anasamehe dhambi yoyote ile?

Kama ni mjasiri ataweza na siku si nyingi mtamsahau midomoni mwenu.

Halafu mnawapa kick bila kujua...watu wanapenda mambo ya kipuuzi kama haya utashangaa kanisa lake likafurika kama la mwamposa halafu mrudi hapa mseme alitoa kafara.
 
Unahisi mwanamke anaridhika kwa show mkuu?? Pole sana

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…