Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Video hiyo hapo
View attachment 2378508
"Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini."

"Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu wanachoongea, endelea kuamini katika ukweli ya kwamba tunachokwambia mke wangu mimi ni mke ambaye mnaishi naye hapa kanisani mnaelewa. Ni mke ambaye anajichanganya na ninyi, hatengenezi umbali kati yenu na sisi, na hili ni darasa nililifanya kwakwe."

"Anaongea na watu wote, anacheka na watu wote, hivyo ndivyo huyu mwanamke alivyo. Haiwezi kutokea tutengeneza mazingira ya kumfanya asiongee na watu."

"Natamani dunia ielewe leo kwa jinsi ninavyomuelewa huyu msichana, tuweke uchungaji na kanisa pembeni, nimkute uso kwa uso anapiga "gemu" na mtu, namkamata kwanza wife halafu nampima yule jamaa nammudu au simmudu? Nikiona hii ngoma siiwezi kuzipanga atanipasua, nitarusha maneno tu lakini wife naondoka naye."

"Sisi tumeoana hadi kitutenganishe kifo. Hakuna stori hapa kati kati, mchawi, pepo, jini cha kusambaratisha. Nataka nikukwambie mabaya yote yanayokuja mbele yetu hatushindi kwa akili, uweza na nguvu zetu, tunaye anayetupa kushinda, ndiyo maana nina uhakika wa kubaki na mke wangu mpaka siku ya unyakuo."
actually, watu wote wanaosali kwenye hilo kanisa ni mapunguani.
 
Masanja hayupo sawa to be fair, na ndiyo maana anatoa conflicting messages kwenye public.

Watu wanaomzunguka wanapaswa kuwa very very careful asijidhuru. Still bado halijawa stabilised moyoni mwake.

Mke wake kamuumiza sana sana, zaidi ya sana. Hizi clip za mke wake za kutumia mlango haramu kufanya mapenzi ni very disturbing.

I am feeling very sorry for Masanja, ila the best way ni kuachana na huyo mwanamke.

Mwanamke angekuwa anatumia mlango wa mbele it's OK mtu waweza puuzia, ila huko kwengine ambapo Mungu alikulaani it's a big not.
Heeee.................aliliwa goti.....hatari na nusu.
 
Masanja hayupo sawa to be fair, na ndiyo maana anatoa conflicting messages kwenye public.

Watu wanaomzunguka wanapaswa kuwa very very careful asijidhuru. Still bado halijawa stabilised moyoni mwake.

Mke wake kamuumiza sana sana, zaidi ya sana. Hizi clip za mke wake za kutumia mlango haramu kufanya mapenzi ni very disturbing.

I am feeling very sorry for Masanja, ila the best way ni kuachana na huyo mwanamke.

Mwanamke angekuwa anatumia mlango wa mbele it's OK mtu waweza puuzia, ila huko kwengine ambapo Mungu alikulaani it's a big not.
Sio clip yake ile wewe, mnatafuta kila njia ya kumuumiza why lakini?
 
Masanja hayupo sawa to be fair, na ndiyo maana anatoa conflicting messages kwenye public.

Watu wanaomzunguka wanapaswa kuwa very very careful asijidhuru. Still bado halijawa stabilised moyoni mwake.

Mke wake kamuumiza sana sana, zaidi ya sana. Hizi clip za mke wake za kutumia mlango haramu kufanya mapenzi ni very disturbing.

I am feeling very sorry for Masanja, ila the best way ni kuachana na huyo mwanamke.

Mwanamke angekuwa anatumia mlango wa mbele it's OK mtu waweza puuzia, ila huko kwengine ambapo Mungu alikulaani it's a big not.
Kwahiyo wewe mkeo akiliwa mlango wa mbele poa tu.
 
Kajitahidi kuzuga ila ndani yake motooo unawakaaa... Kusema kuwa hata angekuta mkewe anatiwaa hapo anaangalia kama anammudu anaemtia au hammudu kama anammudu anadili nae kama hammudu anamchukua mkewe wanasepa ni kufake upendo kwa hali ya juuu na inaonesha amedili na katibu maana anammudu.
Kwani haitokeagi mkuu?
Nimeshuhudia jamaa kamfata mke wake gest kamtoa kampakia kwenye gari wakasepa na alikua anachepuka na mfanyakazi mwenzie, ilikua 2012 adi leo wapo wote, alikua boss wangu na nilikua mpelelezi bila mimi kujua.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Binafsi hapana, ila ilikuwa ni response ya swali ulilomuuliza hapo juu kwamba alishaoa? My interpretation ilikuwa kama unashauri masanja asamehe as long as ni majaribu ya kwenye ndoa, unaweza add kitu kama nimekupata vibaya kuweka mambo sawa.
 
Kajitahidi kuzuga ila ndani yake motooo unawakaaa... Kusema kuwa hata angekuta mkewe anatiwaa hapo anaangalia kama anammudu anaemtia au hammudu kama anammudu anadili nae kama hammudu anamchukua mkewe wanasepa ni kufake upendo kwa hali ya juuu na inaonesha amedili na katibu maana anammudu.
Hii ndio ukweli😁😁😁😁😁😁😁.Ndoa bongo!!!!!
 
Kwani haitokeagi mkuu?
Nimeshuhudia jamaa kamfata mke wake gest kamtoa kampakia kwenye gari wakasepa na alikua anachepuka na mfanyakazi mwenzie, ilikua 2012 adi leo wapo wote, alikua boss wangu na nilikua mpelelezi bila mimi kujua.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Daah aisee hii ni zaidi ya nomaa... kuna watu wa mioyoo ya chumaa
 
Back
Top Bottom