Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Siutaki uteuzi naandika humu kama mtu anayeiunga mkono serikali. Sijali nani anaiongoza siku zote ninakuwa mzalendo halisi.Masanja atakula uteuzi kabla yako.
Halafu anajiita mchungaji.Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga...
Masanja njaa inamsumbua sana huyu dogo analazimisha umaarufu ambao kimsingi hawezi kuupata ktk kipindi kifupi.
Aliyempa fursa bila kuhakiki nini atawasilisha ndiye wa kulaumiwa,kusema kweli kaabisha sana kidiplomasia tumeonekana watu wa ajabu sana. Huwezi kumwalika mgeni kwako kisha ukaanza kumnanga, mfano kusema sisi Tanzania nzige haziwezi kuja tunazisikia nchi nyingine wakati Rais Uhuru Kenyatta yuko pale akiwa mgeni wa Rais Samia ni deliberate insult na diplomatic breach.Masanja njaa inamsumbua sana huyu dogo analazimisha umaarufu ambao kimsingi hawezi kuupata ktk kipindi kifupi.
Wanaofanya kazi ya kuwachagua hao waganga njaa ndiyo wenye makosa.Aliyempa fursa bila kuhakiki nini atawasilisha ndiye wa kulaumiwa,kusema kweli kaabisha sana kidiplomasia tumeonekana watu wa ajabu sana. Huwezi kumwalika mgeni kwako kisha ukaanza kumnanga, mfano kusema sisi Tanzania nzige haziwezi kuja tunazisikia nchi nyingine wakati Rais Uhuru Kenyatta yuko pale akiwa mgeni wa Rais Samia ni deliberate insult na diplomatic breach.
Hii ni aibu na fedheha katika nyanja ya diplomasia na inabidi hatua stahiki zichukuliwe ili aibu kama hii isijirudie tena.
Hahahaaaa......... CCM ni kokoro by John Komba ripSijui nani alianzishaga huo mchongo
Kuwapeleka hao makatuni
Ova
Pls bangi itoe kwenye hio hoja yako kama unataka tuelewane, kosa la bangi hapo ni nin?Kifupi Masanja na yule mwenzie hawakuwa wamejiandaa kufanya VIP comedy walikuwa wakihutubia na kuvurumisha matusi badala ya kuchekesha hopeless kabisa
Masanja hajui VIP comedy inatakiwa isiguse individuals on any way offensive. Kaniudhi sana aliposema Vifaa vyetu vya Kavita vya kisasa vinapata kutu tu havitumiki kivita akamtaka Mkuu wa Majeshi Mabeyo aongee na Raisi Kagame ili waliamshe waanzishe vita ili vitumike Ile statement ilikuwa offensive kwa Kagame na Mabeyo kwa nchi na ya kichochezi why amtaje Kagame na sio Rais mwingine yeyote aliyeko pale? Why Kagame? Siku ingine waigize kabla vyumbani huko chini ya usimamizi kabla kuonyeshwa public
Huyo mwigiza sauti ya Nyerere naye hopeless ohhhh mke wangu Maria Nyerere yule pale, Mwanangu Hussain Mwinyi, kijana wangu Majaliwa ujinga mtupu hakuwa na theme nyingine isiyokuwa offensive?
Kiujumla nobody should be allowed just ku perform chochote Mbele ya VIP mpaka kionwe kwanza
Hana ajili Masanja nadhani atakuwa alivuta bangi
Masanja hana njaa kama unavyofikiri, yawezekana mkajichanga CASH ukoo wenu wote msifikie nusu ya ela za Masanja. Tatizo chuki zinawafanya mropoke hovyo bila kushirikisha ubongo.Masanja njaa inamsumbua sana huyu dogo analazimisha umaarufu ambao kimsingi hawezi kuupata ktk kipindi kifupi.
πππ Hakika tumbo ndio hua linatoa hewa chafu, makalio hua yanasingiziwa tu yenyewe hua yanatumika Kama spika tu.Masanja hana njaa kama unavyofikiri, yawezekana mkajichanga CASH ukoo wenu wote msifikie nusu ya ela za Masanja. Tatizo chuki zinawafanya mropoke hovyo bila kushirikisha ubongo.
Waache hayo mambo ya kuwapeleka haoHahahaaaa......... CCM ni kokoro by John Komba rip