Mashahidi watatu wa Lissu waliobaki (IGP, CDF na DCI) wote wapo nje ya nchi

Mashahidi watatu wa Lissu waliobaki (IGP, CDF na DCI) wote wapo nje ya nchi

Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
serikali kupitia DPP ondoeni hiyo kesi hapo High Court !

mmesababisha wakuu wa vyombo wanajificha.! aibu naona mimi
 
Nilisema humu tangu last week, hakuna mtu miongoni mwa hao vilaza CDF,IGP na DCI anaweza kuhimili joto la maswali ya Lissu , mkakati ni watatoa visingizio na dakika za mwisho kesi itafutwa.
 
Back
Top Bottom