Mashahidi watatu wa Lissu waliobaki (IGP, CDF na DCI) wote wapo nje ya nchi

Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.

..kwanza wanaweza kumuita Kamishna Mkuu wa Uhamiaji athibitishe.

..pili wanaweza kuwaita wanaokaimu nafasi zao wakati wao wako nje.
 
Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Tulisema hili mapema ,wajuzi wa mambo tuliliona hili mapema mno guess what Case ishaisha hapo .
Karibu uraiani mwenyekiti
 
Back
Top Bottom