Wapo nje kwa maslahi mapana ya taifaUhuni at its best. Kwa hiyo wapo nje kwa kuda gani? Yaaji hao eote wanasafiri kwa wakati moja kwa kipindi cha zaidi ya week moja?
Unaweza kuona jamaa akaomba mahakama imuite huyu kamishna wa uhamiaji aje kuthibitisha kama hao jamaa wameenda nje kweli au lah. Akaomba na vigogo wengine zaidi, vigogo zaidi Ki-nafasi zao au ki-kimajukumu wakajikuta wameingia kwenye chain ya kuitwa mahakamani 😀
Inawezekana pia...Wapi mkuu Ngerengere.
Katuga atakuwa anajua uhuni unaoendelea...hao majamaa ni kweli wapo nje ya nchi, au wamegoma kutokea mahakamani?
..mahakama itaamua nini ikiwa majamaa hayataki kuja kutoa ushahidi?
..Nimeona Katuga anajaribu kusema hao majamaa kuja mahakamani ni jukumu la mshitakiwa, sio mahakama.
Sasa inafikirisha kwanini Katuga aliibua hoja hiyo. Kwasababu mahakama ilifanya uamuzi wa kuwapelekea majamaa wito. Na Majaji walieleza sababu kama sijakosea.
Mahakama imeshatoa samansi ni jukumu la mahakama kuhakikisha wanaletwa iwe kwa lazima au vinginevyo, wakikataa watakuwa wameidharau mahakama sio Lissu wakija kusema uongo watashitakiwa kwa kusema uongo mahakamani.Shahidi wa mshitakiwa niyeye mwenye jukumu la kumleta Shahidi wake
kumtetea kama ayupo ✅️
Njia pekee kufunga Mashahidi wake Lissu 🫎✅️
Lau
Lissu atakaaa Lupango mpaka uyo Shahidi apatikane kumtetea ‼️
Kazi kipimo cha utu 🫎🫎
Walioshangilia UPUMBAVU wa mh Lissu wawe tayali kuchutama 🫎🫎🫎
halafu baada ya 2030 ? wanamuachia au ?Hakuna anayesubiriwa hapo. Lissu ataendelea kukaa jela Hadi baada ya uchaguzi 2030.
Ulitegemea tofauti na hivyo kwa hao mashahidi wa serekali? Hata huyo Samia, Mpango na Majaliwa wamekwepeshwa tu lakini ndio wahusika wakuu. Na huo ni mwanzo tu, ingewezekana hiyo kesi iende ICC ndio watu wangejua matumizi mabaya ya madaraka ni nini.Duh...!,jf siku hizi,kila mtu humu ni Sheikh Yahya.
P
Lissu. CDF una akili timamu/ CDF upo timilifu kichwaniMkuu na wewe umeamini kabisa eti wamesafiri kwenda nje ya nchi?
Halafu bahati mbaya Makamu wa RAIS Hana uzoefu na nafasi ya Urais.Sana, yaani kuitaarifu Dunia waziwazi kuwa wakuu wote hawapo, huyu Yuko Zanzibar na haijulikani atakuja lini, Hawa wengine wawili nao hawajulikani warudi lini nchini...hata kama hawana nguvu ila tutakuja kufa vibaya sana
Wapo nchini kabisa. Maana summons hawajapokea Leo ni muda kama siku nne zimepita na hilo jibu walitoa siku nne zilizopita. So lazima watakuwa wamerudi wapo nchini...hao majamaa ni kweli wapo nje ya nchi, au wamegoma kutokea mahakamani?
..mahakama itaamua nini ikiwa majamaa hayataki kuja kutoa ushahidi?
..Nimeona Katuga anajaribu kusema hao majamaa kuja mahakamani ni jukumu la mshitakiwa, sio mahakama.
Sasa inafikirisha kwanini Katuga aliibua hoja hiyo. Kwasababu mahakama ilifanya uamuzi wa kuwapelekea majamaa wito. Na Majaji walieleza sababu kama sijakosea.
Aibu sana. Mkuu wa majeshi anakimbia kutoa ushahidi kwenye kesi ya uhaini ambayo yeye ndio mdau namba Moja.Aibu kubwa.
Mbele ya kutakiwa kuongea ukweli, watu wanajificha.
Serikalibinatia aibu sana, na sisi wengine ni wana CCM.
Umeona mbali sana. Kitendo cha kusema wapo nje ya nchi kimewaingiza kwenye shimo linguine la maswali. Nchi Gani? Mkutano au shughuli Gani? Siku ngapi? Tarehe ya kuondoka? Tarehe ya kurudi? Taarifa za summons?Unaweza kuona jamaa akaomba mahakama imuite huyu kamishna wa uhamiaji aje kuthibitisha kama hao jamaa wameenda nje kweli au lah. Akaomba na vigogo wengine zaidi, vigogo zaidi Ki-nafasi zao au ki-kimajukumu wakajikuta wameingia kwenye chain ya kuitwa mahakamani 😀
Wapo nchi Gani ! Na shughuli Gani?Wapo nje kwa maslahi mapana ya taifa
nasikia hata serikali haijui yakwamba watarudi lini Tanzania,ila poa labda wasije juu ya pulpit ya mahakama maana wanajiongezea maswali magumu siku wakikutana na mtuhumiwa waoMhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.