econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Hapa ndipo mahakama ilizingua sana. Hata wakitoa hukumu ya mchongo, Lissu akikata rufaa kwa ground ya mahakama ilizuia mashahidi muhimu hukumu itapigwa chini...Nadhani Majaji wamejifunga pale waliposema ushahidi wa hao majamaa uko relevant kwa utetezi wa mshtakiwa.
..Sasa Majaji wakilazimika kutoa hukumu bila hao majamaa kufika mahakamani itakuwaje?
..Ukiacha hilo, Majaji walizuia Rais, Makamu mstaafu, Waziri Mkuu mstaafu, na Mkurugenzi wa Tiss, kuja kutoa ushahidi. Uamuzi huo una athari gani kwa Mshtakiwa, na hukumu itakayotolewa?