Mashahidi watatu wa Lissu waliobaki (IGP, CDF na DCI) wote wapo nje ya nchi

Mashahidi watatu wa Lissu waliobaki (IGP, CDF na DCI) wote wapo nje ya nchi

1. Rais, hayupo nchini yupo nje
2. CDF, hayupo nchini yupo nje
3. IGP, hayupo nchini yupo nje

Hii maana yake Nini?, lango liko wazi..nchi Haina mwenyewe wakati huu. Maadui wa nchi hawawezi kutumia mwanya huu kweli
Hii inji kubinuliwa ni raisi chana.
 
Lissu: Mhe. CDF Umesema wiki iliyopita ulikuwa nje ya nchi kweli au sio kweli na umerudi lini.

CDF: Juzi.

Lissu: Tunaweza kumuita Kamishina wa uhamiaji kuthibitisha.

CDF: aa... ee... iii.. unajua...

Lissu: Wewe ni mfanyakazi wa umma nafikiri unapokea mshahara, ile hotel ya London ni yako au siyo yako, jibu ndio au hapana.

Lissu: Naweza kukuonyesha hati ya mmiliki wake.

Yaani tabu tupu.
 
Back
Top Bottom