The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Uhuni at its best. Kwa hiyo wapo nje kwa kuda gani? Yaaji hao eote wanasafiri kwa wakati moja kwa kipindi cha zaidi ya week moja?