Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

No wapo smart ila mimi sio muumini sana wa wanawake kusifiwa kwa mambo madogo, tukifurahia hilo tutalemaa.

Hivi haujawahi kuchunguza kuwa wadada tunapewa sifa za upuuzi kwa vitu vya kawaida ambavyo wanaume wakifanya ni kawaida tu? Hii hali inalemaza babes.
kuna babes chache ambazo hazipendi kusifiwa ila nyingi zinafurahia na kuanza kujiwekea class like flani haniwezi au mimi sio level za flani wakati kiuhalisia alitakiwa kuwa normal tu

naungana na wew wapo wengi na wachache ambao ni smart hilo halipingiki😊
 
kuna babes chache ambazo hazipendi kusifiwa ila nyingi zinafurahia na kuanza kujiwekea class like flani haniwezi au mimi sio level za flani wakati kiuhalisia alitakiwa kuwa normal tu
Ni sawa lakini tukaze, wanaume wako smart kweli kweli hawatanii, na wanawake pia, ila wanawake wanasifiwa sana wanarelax, hatujielimishi tunabaki tupo tupo tu.

naungana na wew wapo wengi na wachache ambao ni smart hilo halipingiki😊
 
Watawala wa hii nchi mienendo yao inataborika kama movie ya kibongo..

Ina maana kwamba wana uwezo mdogo wa kiakili.. wengi waliopo kwenye uongozi ni kwa sababu ya uchawa, rushwa, undugu, mahusiano...
Wapigaje tupu. Hawana weledi wowote, lazima wakimbie kuhojiwa.

Kama nchi tumefikaje hapa na tunatoka vipi?

Hakuna aliye salama.
 
Duh...!,jf siku hizi,kila mtu humu ni Sheikh Yahya.

P

Wewe ndiyo inabidi ubadilike na kuwa open minded hivi vitu vyote vilitegemewa ndiyo maana tuliongea kama mtu ni strategic minded utajua kabisa maana tabia za kijinga jinga za Tanzania tunazifahamu. Kwani mimi nime juwaje 🤦🏾‍♂️ common sense hiyo ndio njia pekee walio kuwa nayo
 
kuna babes chache ambazo hazipendi kusifiwa ila nyingi zinafurahia na kuanza kujiwekea class like flani haniwezi au mimi sio level za flani wakati kiuhalisia alitakiwa kuwa normal tu

naungana na wew wapo wengi na wachache ambao ni smart hilo halipingiki😊
Masuala ya babes pelekeni huko chit chat.
Mshaingiza babes kwenye Uzi usiohusika
 
Katika watu wenye Experience ya Mahakama ni Kingai kwa sababu ni Kachero wa mda mrefu hapa labda useme CDF na DGTISS
Kingai hajawahi kupanda kizambani, yeye huwa anatunga kesi anasakizia wenzie. Hawezi kutokea maana anajua udhaifu wake utaonekana hata kwa staff wake na wenzake.
 
Duh...!,jf siku hizi,kila mtu humu ni Sheikh Yahya.

P
Ulitegemea tofauti na hivyo kwa hao mashahidi wa serekali? Hata huyo Samia, Mpango na Majaliwa wamekwepeshwa tu lakini ndio wahusika wakuu. Na huo ni mwanzo tu, ingewezekana hiyo kesi iende ICC ndio watu wangejua matumizi mabaya ya madaraka ni nini.

Hapo hao viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wana la kujifunza. Wanatumika na wanasiasa wa ccm, kisha ikifika wakati wa kwenda kunyoosha maelezo wanaachwa wanaitwa wao kutoa maelezo. Vyombo vya dola vijifunze ya kuambiwa .....
 
Huu uzi sikua nimeuona ila nilikua nina uhakila wala hao vilaza wasingetokea mahakamani, sababu wasingeweza kuhimili joto la maswali ya Lissu.

Nilikua naongea na wakili mmoja na ni mwanakijani mtiifu aliniambia katika vitu ambavyo "architechs" wa hii kesi hawakuvitarajia na vilibadili kabisa muelekeo wa kesi hii ni pale Lissu alipokaa mawakili wa utetezi na kusimama kujitetea mwenyewe hii ilivunja script nzima ya kesi na ilibidi itumika danadana ya yale mahairisho hasa ilikua ni kuwarudisha kwenye drawing board mashahidi wa kwenye mabanda ya mbwa pale mahakamani kubumba ushahidi upya maana upepo mzima wa kesi ulibadilika siku ile na kesi hii haina muda mrefu sasa itatupiliwa mbali.

La mwisho na kwa muhimu tunaona sasa umuhimu wa katiba mpya maana haiwezekani wakuu wa majeshi wanasafiri bila umma kujua [ hawa ni watumishi wa umma na waajiriwa wa wananchi] japo najua si kweli wamesafiri ila ombwe la uwajibikaji linakosekana maana hakuna wa kuhoji au mahali popote watabanwa kuthibitisha hawakuwepo au wameamua kuingia mitini.

Mfano wa uwajibikaji ni kama huu hapa kwa majirani zetu hapo, ambao hata IGP hayuko juu ya sheria na kama mtumishi wa umma wa ofisi ya juu anaposafiri iwe kikazi, likizi au matibabu umma unatakiwa kujua ndio maana mwaka jana huyu IGP wao wa sasa alipandishwa kizimbani kujibu tuhuma za utekaji.


View: https://x.com/NPSOfficial_KE/status/1563152545895559169
 
Tutajua nchi haendelei kwa sababu tunaongozwa na viongozi walioishia la saba b.
Umekariri eti vyeti ndo vinaleta maendeleo. Ila msisahau ht mgombea mwenza wa CHADEMA alikuwa la 7.
Katibu Mkuu wa CDM na Makamu Mwenyekiti nao Tia maji tia maji.
 
Back
Top Bottom