Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

Bro Pascal Mayalla umekuwa mteteaji in chief usije kusema imetokea tu hawapo maana unatetea kila kitu🤦🏾‍♂️ tulisema mapema sana
Haya mambo ya kuitana
Mteteaji in Chief, huku ni kunyoosheana vidole!

Let's just be realistic, kama walikuwa na ratiba za safari za kikazi kabla ya samansi, ndio waahirishe safari ambayo ni prior planned kwasababu ya court summons au kesi ndio iahirishwe kuwasubiria warejee?
P
 
Back
Top Bottom