Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Sina ..ila hiyo hotuba alivyokuwa akisoma hata mtoto wa darasa la saba ana nafuuUnayo CV YAKE
Sina ..ila hiyo hotuba alivyokuwa akisoma hata mtoto wa darasa la saba ana nafuuUnayo CV YAKE
Inawezekana....sasa ukute kiwango chake cha elimu ni sawa na cha katibu mkuu wa chama kikuu cha siasa....hivi CDF na IGP si itabidi ataje na kiwango chake cha Elimu ?
hahahahaha,ila sasa katibu mkuu wa chama kikuu A level na o Level kaweka rekodi ya matokeoInawezekana....sasa ukute kiwango chake cha elimu ni sawa na cha katibu mkuu wa chama kikuu cha siasa....
hahahahahahaHahahahaha.....imagine kuna hotuba moja CDF ameshindwa kusoma....aibu niliona
Utakuwa umehaririwa na mods. Ngoja nikausome tena.Uzi wenye code umerudishwa kule
Hivi kamanda unafikiri wakuu wetu wa vyombo vya ulinzi ni majua? Ebu acheni kubagaza viongozi kamanda... maana ata muda huu hupo free na safe kwenye key board kutokana na wao kutimiza wajibu wao.Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Kiswahili kitapotea,wataongea kikwao!Ungekuwa ni wewe ungekubali kwenda kuaibika kwenye kadamnasi mubashar?Kingai atakuwa anafanya mazoezi ya kunyanyua glasi za kunywea maji muda huu.
Ajabu ya Musa!Mtu mmoja anapinduaje serekali?
unqkumbuka kesi ya mbowe?? alikutana na kibatala akaomba maji ya kunywa umesahau??Katika watu wenye Experience ya Mahakama ni Kingai kwa sababu ni Kachero wa mda mrefu hapa labda useme CDF na DGTISS
Unafikiri wao mi kama Mnyika, Golugwa, Brenda Rupia na Heche walioshindwa kujibu maswali ya Wakili Mwamba Katuga?Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Hatari hata hana mawazo ya kufiwa anawaza kuhusu kidume hiki cha singida🤣🤣Kichwa kimoja ila mpk aliyeko eda daily anaomba updates zake
Ngoma ngumu wanashambuliwa wao saivi hamna aliyesalamaKwa kuwa wao ndio vyombo, ni bora wangefuta case mambo yasiwe mengi
Heche nae ameshahojiwa na Katuga tayari? Au wewe ni robotUnafikiri wao mi kama Mnyika, Golugwa, Brenda Rupia na Heche walioshindwa kujibu maswali ya Wakili Mwamba Katuga?
Mnaomba kijanja kesi ifutwe?Kwa kuwa wao ndio vyombo, ni bora wangefuta case mambo yasiwe mengi
Kwani akisema aliishia la 7b kuna tatizo?Inawezekana....sasa ukute kiwango chake cha elimu ni sawa na cha katibu mkuu wa chama kikuu cha siasa....
Kapata degree ya ukubwani mwaka 2018 Meru UniversityUnayo CV YAKE
Kuna mmoja hapo ni mweupe sana kichwani, itakua burudani sana kwenye cross examination.Ungekuwa ni wewe ungekubali kwenda kuaibika kwenye kadamnasi mubashar?Kingai atakuwa anafanya mazoezi ya kunyanyua glasi za kunywea maji muda huu.