Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

Ulitegemea tofauti na hivyo kwa hao mashahidi wa serekali? Hata huyo Samia, Mpango na Majaliwa wamekwepeshwa tu lakini ndio wahusika wakuu. Na huo ni mwanzo tu, ingewezekana hiyo kesi iende ICC ndio watu wangejua matumizi mabaya ya madaraka ni nini.

Hapo hao viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wana la kujifunza. Wanatumika na wanasiasa wa ccm, kisha ikifika wakati wa kwenda kunyoosha maelezo wanaachwa wanaitwa wao kutoa maelezo. Vyombo vya dola vijifunze ya kuambiwa .....

Huwa hawajifunzi, kuanzia askari wa chini mpaka wa juu. Baadhi yao huwa yanawakuta majanga , lakini walio wazunguka hawajifunzi, watarudia makosa yale yale.
 
Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Hongera sana,kwani uliona mbali.Ndicho kilichotokea.
 
Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Lissu kawapiga mbonge la mtego.Nadhani alitegemea kuwa hawatakuja ili kuthibitisha kuwa hiyo kesi ilikuwa feki.Kwani kama ingekuwa ni kesi ya kweli wangeenda kutoa ushahidi ili kuthibitisha kesi.
Kwa hiyo mahakama haiwezi tena kuwa na kisingizio cha kumtia hatiani kwani Serikali haijachukulia maanani kesi hiyo.
 
Nyie ndio uwa mpo huko na ilijua ila unaileta humu kama !"ubashiri"
 
Hii kesi imefika patamu Sana
Umenifanya nikumbuke maandiko "Bwana Mungu akaufanya moyo wa Farao ......."
Na haya ndio yanayojitokeza tokea awali. Seerikali imeshauriwa tokea awali kuwa hii kesi yao ya mchongo waiondoe wataaibika lakini mioyo yao imekuwa migumu na kila Siku mambo ya sirini yanakuwa wazi.
 
Lissu kawapiga mbonge la mtego.Nadhani alitegemea kuwa hawatakuja ili kuthibitisha kuwa hiyo kesi ilikuwa feki.Kwani kama ingekuwa ni kesi ya kweli wangeenda kutoa ushahidi ili kuthibitisha kesi.
Kwa hiyo mahakama haiwezi tena kuwa na kisingizio cha kumtia hatiani kwani Serikali haijachukulia maanani kesi hiyo.
Kwa hiyo Mahakama mzee utasikia hukumu yake mbona hakuna hata ushahidi wa maana ulitolewa mpaka tukaambiwa ana kesi ya kujibu mimi nafatilia juu juu tu maana naona Majaji wa hitimisho lao bila kuzingatia mashahidi wamesema nini..
 
Back
Top Bottom