Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

Let's be realistic, kama walikuwa na ratiba za safari kabla ya samansi, ndio waahirishe safari ambayo ni prior planned kwasababu ya court summons au kesi ndio iahirishwe?
P

Kama tulivyosema wewe ni mtetezi in chief. Safari hazijapangwa na tulisema hapa kabla yaani sasa wote hawapo na watapotea mpaka muda upite sisi hapa bro sio wajinga tatizo walionao hawa wezi wa kura na wakandamizaji wa demokrasia sisi tumewazidi akili tunajua mambo kabla hata hayajatokea. Usije kutuita manabii tunajua ujinga ujinga wote wa Tanzania. Yaani wakuu wa nchi wote wanamkimbia Lissu🤦🏾‍♂️
 
😂😂😂😂😂

Huyu ni AI.
Mimi nilimshtukia zamani sana, kuna uzi mmoja wa zamani kuwasifia wadada wa JF kuwa wapo smart (Hili jambo linakuzwa mno)

Bichwa komwe akakoment kwa kujiamini kuwa hamna lolote, Kuanzia hiyo siku nikawa na msoma, ana masihara kibao, ila akishusha nondo ni hatari sana.
 
Mjomba umetisha sana.
 
Haya mambo ya kuitana
Mteteaji in Chief, huku ni kunyoosheana vidole!

Let's just be realistic, kama walikuwa na ratiba za safari za kikazi kabla ya samansi, ndio waahirishe safari ambayo ni prior planned kwasababu ya court summons au kesi ndio iahirishwe kuwasubiria warejee?
P
Kama!!
 
subiri kwanza, Kwani wadada wa JF sio smart tena🤔😪,,, ujue unawakosea? ngoja waje😅
No wapo smart ila mimi sio muumini sana wa wanawake kusifiwa kwa mambo madogo, tukifurahia hilo tutalemaa.

Hivi haujawahi kuchunguza kuwa wadada tunapewa sifa za upuuzi kwa vitu vya kawaida ambavyo wanaume wakifanya ni kawaida tu? Hii hali inalemaza babes.
 
Mimi nilimshtukia zamani sana, kuna uzi mmoja wa zamani kuwasifia wadada wa JF kuwa wapo smart (Hili jambo linakuzwa mno)

Bichwa komwe akakoment kwa kujiamini kuwa hamna lolote, Kuanzia hiyo siku nikawa na msoma, ana masihara kibao, ila akishusha nondo ni hatari sana.
Mi ndo hata simuelewagi kwanini ana act vile 😄

Ila namfumaniaga mara moja moja ni anashusha nondo balaa, sio mtu wa kawaida kabisa yule 😄
 
No wapo smart ila mimi sio muumini sana wa wanawake kusifiwa kwa mambo madogo, tukifurahia hilo tutalemaa.

Hivi haujawahi kuchunguza kuwa wadada tunapewa sifa za upuuzi kwa vitu vya kawaida ambavyo wanaume wakifanya ni kawaida tu? Hii hali inalemaza babes.
Mkuu Mshana Jr aliposema mabinti wa Jf hawapo smart hakugeneralize na badala yake alielezea kuwa kuna wanaotumia mitandao vibaya kujirahisisha. Binafsi nyie hampo kundi hilo
 
No sio uzi wa mshana, uzi naouzungumzia ni wa siku nyingi huko, zile nyuzi zinaanzishwa watu wanaanza kutajana.
 
Back
Top Bottom